Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

Hongera mkuu. Kama vipi hamia mkoani ukapige hyo kazi
mkoa gani wenye population kama Dar...? maana siku fichi rafiki yangu boda boda hapa mjini inalipa sana...ile asubuhi tu nina uhakika wa kuingiza 30k na jioni vile vile nikifanya hadi saa 6 usiku naweza kupata hadi 45k...

sema ndio hivyo changamoto ni nyingi sana...😭😭😭​
 
Tango pori kwa sababu ni nadra sana gari ndogo kufeli break haswa automatic
 
Ungekuwa karibu ningekupa POLE ya KIUTU UZIMA
ungenipa kinyeo nijipooze🀣🀣🀣🀣 harafu jana umenichatisha habari za vinyeo hadi nikapata ajari😭😭😭😭
 
Ajali si ajari
 
ungenipa kinyeo nijipooze🀣🀣🀣🀣 harafu jana umenichatisha habari za vinyeo hadi nikapata ajari😭😭😭😭
🀣🀣🀣🀣🀣 pole BABA KINYEO, sikujua kama umenogewa hadi ukaparamia nguzo barabarani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Pole sana mkuu, ajali za bodaboda zinafikirisha hasa kusudio langu la kuimiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…