Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

Usalama barabarani na kujifanya wanaangalia ubora wa usafiri, hamna kitu wanakagua kwa mwaka mara moja hao police
Baada ya hapo ni mwendo wa rushwa tu
Huna break unatoa hela unaenda kufa mbele Safi sana ila wanauwa na wasiokuwa na hatia
Tumlaumu muomba rushwa au mtoaji au mwenye usafiri asiejali kuwekeza kwenye chombo chake

Kama hamuwezi kuvimudu gharama ya nini wananunua?
Huwa najiuliza sana
 
Eeenh umejileteleza mwenyewe. Kwenye ule uzi wa Tiss ni migambo waliochangamka ulimwaga details sana. Kupitia registration number ya pikipiki hapo pichani tegemea ugeni muda wowote. (natania tu). Pole mkuu kwa ajali.
 
kweli harafu ikitokea ajali wanakuwa wapole sana
 
Eeenh umejileteleza mwenyewe. Kwenye ule uzi wa Tiss ni migambo waliochangamka uliwamwaga details sana. Kupitia registration number ya pikipiki hapo pichani tegemea ugeni muda wowote. (natania tu). Pole mkuu kwa ajali.
🤣🤣🤣🤣 hamna kitu yale maandishi kule ilikuwa ni ya uongo tu...!
 
daah watu wana rohoo ngumu sanaa..!!
 
Inaonekana hujawahi kumiliki chombo na pia hujawahi kutoa wala kupokea rushwa.

Siku ukifanya hayo hapo juu, utakuwa unazungumza mengine au utasalia kimya!
 
Jana nimeshuhudia uhai ulivo rahisi kutoka , wamegongana boda wawwili. Huku naona na wote wakafariki hapo hapo ! Yaani nimesikia kishindo paah nasogea. Nikaokoe jamaa ndo wanakata roho .
Ajali za boda boda kupona ni majaliwa
Mpaka boda wagongane hao jamaa walikua vibati sana
 
Pole sana Afisa usafirishaji wetu na abiria wako kwa ajali mliyoipata.
 
Inaonekana hujawahi kumiliki chombo na pia hujawahi kutoa wala kupokea rushwa.

Siku ukifanya hayo hapo juu, utakuwa unazungumza mengine au utasalia kimya!
Nashukuru huko niliondoka zamani sana kumoliliki gari sio la kujivunia huku maana mshahara mmoja tu unaweza kununua ya kukupeleka mahali

Siwezi kusema mengi
 
Kumbe wizi wa pikipiki Bado upo Dar?
Maana hao wezi wameuliwa sana paka huo wizi wa pikipiki ulipunguaga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…