Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
BrainWashedCleopatra alikuwa mu Giriki by nature na hyo ilitokea baada ya Alexander the Great kufa wale majemedari waligawana regions za kuongoza na ndio Ptolemy dynasty ikawa Ina rule Egpty ndio Cleopatra akafikiwa kuongoza. So Cleopatra was a Greek but leading Egpty
Naam alexander aliongoza ugiriki, Iran/Persia, Misr nk. So alipokufa Darius yeye aliongoza Ugiriki ila majemedali wengine wakajichukulia sehemu mbalimbali alizotawala ndipo koo ya Plotemy ilipojipatia tawala misri na Cleopatra ndio anatoka humo. So anayesema Cleopatra alikua mweusi labda atuambie je Plotemy Soter alikua mweusi??Cleopatra alikuwa mu Giriki by nature na hyo ilitokea baada ya Alexander the Great kufa wale majemedari waligawana regions za kuongoza na ndio Ptolemy dynasty ikawa Ina rule Egpty ndio Cleopatra akafikiwa kuongoza. So Cleopatra was a Greek but leading Egpty
Badala ya kunipinga kwa hoja kama walivyofanya wengine wewe unanishambulia Personally kana kwamba hapa tupo kushindana nani anajua zaidi...Janja kujiita Da Vinci usijione jiniazi kuna vingine kubali huvijui, sema we kama zako nyingi unazoandika unaonyesha fika we eurocentric minded, umekuwa totally brainwashed huwajui waafrika wewe
Mkuu huyo Cleopatra alikuwa dada wa damu baba na mama mmoja na Alexander the great.Naam alexander aliongoza ugiriki, Iran/Persia, Misr nk. So alipokufa Darius yeye aliongoza Ugiriki ila majemedali wengine wakajichukulia sehemu mbalimbali alizotawala ndipo koo ya Plotemy ilipojipatia tawala misri na Cleopatra ndio anatoka humo. So anayesema Cleopatra alikua mweusi labda atuambie je Plotemy Soter alikua mweusi??
Daah ama kweli..mkuu kwenye masuala ya historia najua sana. Tunaweza kuongea kuhusu Aztec Yucatec, Norse mythology, Classical, Egyptology, nk tukakesha.Mkuu huyo Cleopatra alikuwa dada wa damu baba na mama mmoja na Alexander the great.
Inaonekana uko shallow sana sijui unatoa wapi taarifa zako
[emoji28][emoji28] sio za kichawi tu pia alikuwa mchawi anaye seduce watu, alifanya Hadi ndoa ya Julius'Caesar kuachana na talakaInaonekana Cleopatra alikuwa na mbinu za kimalaya View attachment 2588124
Inakuwaje hujui Alexander the great alikuwa na dada anaitwa Cleopatra na alikuwa kiongozi, hiyo historia ya kuunga unga unasoma wapi!?Daah ama kweli..mkuu kwenye masuala ya historia najua sana. Tunaweza kuongea kuhusu Aztec Yucatec, Norse mythology, Classical, Egyptology, nk tukakesha.
Hivi inawezekana mtu aliyezaliwa 69BC na 356BC wakawa wamezaliwa tumbo moja?? Unachekesha! Nimeweka link post #1 kasome mada hiyo utajua japo kwa ufupi Cleopatra na Alexander wametoka wapi
Elewa point yangu.. Cleopatra hakuwahi kutawala Ugiriki bali misri tu. Na Cleopatra na Alexander hawakuwahi kuonana. Wamezaliwa nyakati mbili tofauti. Cleopatra alikua na dada wengi sana baba yake alikua na wake 7 kama sijakosea.. maybe jina Cleopatra lilikua common kwa WagirikiInakuwaje hujui Alexander the great alikuwa na dada anaitwa Cleopatra na alikuwa kiongozi, hiyo historia ya kuunga unga unasoma wapi!?
Nimekuuliza umesoma hostoria na hujui Alexander the great dada yake wa damu alikuwa Cleopatra!?Elewa point yangu.. Cleopatra hakuwahi kutawala Ugiriki bali misri tu. Na Cleopatra na Alexander hawakuwahi kuonana. Wamezaliwa nyakati mbili tofauti. Cleopatra alikua na dada wengi sana baba yake alikua na wake 7 kama sijakosea.. maybe jina Cleopatra lilikua common kwa Wagiriki
Cleopatra of Macedonia huyo ndio dada yake Alexander the great na kuna Cleopatra Queen of ptolemaic EgyptSawa haina shida
Nipo nimejaa teleKumbe hupo? Ulipoteaga hapa kati.
Hao ndio wameshea baba na mamaWalizaliwa tumbo moja eeh??
Kila kitu brainwashed eeeh soma historia Cleopatra was a Greek and last pharao to rule egptyBrain
BrainWashed
Uko sahihi kabisaNaam alexander aliongoza ugiriki, Iran/Persia, Misr nk. So alipokufa Darius yeye aliongoza Ugiriki ila majemedali wengine wakajichukulia sehemu mbalimbali alizotawala ndipo koo ya Plotemy ilipojipatia tawala misri na Cleopatra ndio anatoka humo. So anayesema Cleopatra alikua mweusi labda atuambie je Plotemy Soter alikua mweusi??
Cleopatra alikuwa na dada Arsinoe ka Niko sahihi kimaandishi ambaye alikuwa anaongoza na mdogo wake Ptolemy na waliongoza some sort of Uasi Hadi Julius Caesar kuingilia ndio Cleopatra akamuwin kingono Caesar ndio dadake kupelekwa Rome na Caesar kumsamehe na kumweka ka kifungoni kwenye temple alivokufa tu Julius Caesar Cleopatra kupitia ushawishi wa Marc Anthony dadake akauliwa ili wasi compete kiutawalaElewa point yangu.. Cleopatra hakuwahi kutawala Ugiriki bali misri tu. Na Cleopatra na Alexander hawakuwahi kuonana. Wamezaliwa nyakati mbili tofauti. Cleopatra alikua na dada wengi sana baba yake alikua na wake 7 kama sijakosea.. maybe jina Cleopatra lilikua common kwa Wagiriki
Mkuu mbona unakichwa cha panzzi Cleopatra of Macedonia mtoto wa phillip II ndio dada yake na Alexander the great na huyo mwingine Cleopatra of ptolemaic EgyptDaaah ama kweli...
Ngoja cariha aje mueleweshane vizuri