Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Cleopatra wa ukweli namjua, wala siyo huyo hapo
From the first time I saw The Mummy Return movie series I liked her. I was so jealous of Impoteb for her 👇 that's Cleaopatra. She played a villain in this movie. How I wish I was in the movie to just smell her hair (not hairs on her head or bosom if you know what I mean)

In real life I dated a girl named Cleopatra (Ummy) now she is a nurse staff at Hubert Kairuki. Beauty and Beast😬
 
Hili kwangu rahisi sana, sababu habari zake zimedhibitiwa tena kwa "Chain iliyoshikana". Hili litafata baadae, tumalize hili kwanza.

Isiwe mnajadiki ngano na visasili vya watunzi mahiri wa simulizi za kufikirika.
Sawa, tuoneshe hiyo "chain iliyoshikana"
 
Haya mambo ya historia za mapokeo zina kanganya sana
Kwanza ni rahisi sana kubadilishwa kwa lengo la kunufaisha kundi fulani

Inasemekana miaka 275 kabla Cleopatra hajazaliwa Wagiriki waliitawala Misri na kutengeneza line yao ya utawala wa kigiriki, inasemekana hawakuruhusiwa kuoa wa kuolewa wala kuzaa na wenyeji walio watawala wala jamii nyingine yoyote
Na kwakuwa walikua wachache ilibidi waoane wenyewe kwa wenyewe kuhakikisha wanatunza uhalisia.
Kwa muktadha huo Cleopatra ndie alikua mtawala wa mwisho wa Kigiriki na kuleta taswira kwamba haiwezekani akawa sio Mgiriki

Lakini pia kuna mjadala mkubwa sana kwamba hao wenyeji wa Misri kipindi hicho walikua ni black au white? kwamaana ya Waarabu?
Hii hoja ya uasili wa wamisri inazidi kuleta ukinzani wa Cleopatra kuwa mweusi

Wanao tetea Cleopatra alikua mweusi wanajenga hoja kadhaa ikiwemo
Historia imebadilishwa
Michoro na vinyago vingi vya enzi za Cleopatra na hata mafarao kabla zina muundo wa ki weusi
Lakini pia kuna matukio kadhaa kuonyesha watu nje ya ukoo wa kigiriki walioa/olewa walizalisha na walizaliwa na wakakubalika, ikiwemo Cleopatra mwenyewe kuwa na mahusiano na Antoni na Siza na mtoto wake

Kwa mtazamo wangu naona kuna uwezekano mdogo sana Cleopatra kuwa mweusi kuliko kuwa mweupe
 
Soma kitabu kiitwacho sahihi Al Bukhari. Kwa kuanzia Kuna hizo chain na siyo Moja, ziko nyingi.
Hiko Kitabu kimeandikwa miaka Mingapi baada ya huyo Muhamad anayesadikika kuwepo?
 
Egypt ni ustaarabu wa watu weusi. Toka miaka 3000 kabla ya Yesu hadi walipoanza kuingiliwa na wageni. Wakati wa Cleopatra watawala walikuwa wagiriki na Cleopatra ni mgiriki. So si sawa kumuweka mweusi.
 

Kweli kabisa waNorth Africans asili yao Europe kama uarab wanao kidogo ukichek waTunisia kama wazungu kabisa (Italians) ,Algerians kama Wafaransa
 
Duh..
 
Hiko Kitabu kimeandikwa miaka Mingapi baada ya huyo Muhamad anayesadikika kuwepo?
Zaidi ya miaka mia Moja.

Ushawahi hata kukiona ? Jenga hoja.

Kisha uje kuthibitisha ya kuwa anasadikika kuwepo.
 
Zaidi ya miaka mia Moja.

Ushawahi hata kukiona ? Jenga hoja.

Kisha uje kuthibitisha ya kuwa anasadikika kuwepo.
Sasa tutaaminije kitabu kilichoandikwa miaka zaidi ya miamoja kama ushahidi wa muhusika??
(By the way umepunguza, ni miaka zaidi ya 230+)
 
Sasa tutaaminije kitabu kilichoandikwa miaka zaidi ya miamoja kama ushahidi wa muhusika??
(By the way umepunguza, ni miaka zaidi ya 230+)
Umewahi kikisoma kwanza hicho kitabu ? Nimekwambia kina Chain inafika mpaka kwa Mtume, halafu unauliza kwamba utakiaminije ? Au hujui nini maana ya chain ?

Kwani ukiambiwa zaidi ya miaka mia, hiyo 230 na ziada siyo zaidi ya miaka 100 ? Kijana mbona unakuwa Mjinga kiasi hicho ?
 
History ya Cleoptra niliwahi kuifuatilia sana na hata wewe reckodi yako siyo sahihi. Yeye kuhusishwa na Ptolemy hakumfanyi kuwa mgiriki pure. Kumbuka Cleoptra hakuzaliwa na mfalme Ptolemy mwenyewe bali alizaliwa na mmoja wa watumishi wake tena kwa kupitia "mistress" wa huyo mtumishi ambaye wakati huo alikuwa ni "kijakazi" mweusi. Wanawake wengi waliochanganya damu huwa ni wazuri sana ingawa damu nyeusi ndiyo hutawala mionekano yao. Ukiangalia hata kwenye TV za kimarekani wanawake waliochanganya damu wanawaka sana, na hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Cleoptra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…