Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafananao wamekutanaYou know what Gily, playing villain in Tv was fun. But being one in real life, it's even better. Heist music
View attachment 2589808
Out of all enemies I like him more. He danced so smoothly 😬 It pained me to beat his ass. But you know what fuckk em he deserved itYou know what Gily, playing villain in Tv was fun. But being one in real life, it's even better. Heist music
View attachment 2589808
From the first time I saw The Mummy Return movie series I liked her. I was so jealous of Impoteb for her 👇 that's Cleaopatra. She played a villain in this movie. How I wish I was in the movie to just smell her hair (not hairs on her head or bosom if you know what I mean)Cleopatra wa ukweli namjua, wala siyo huyo hapo
Ngoja uone nini? nipe number za mganga wako nipate mademu kirahis😬😬😬😬Ngoja tuone...
Sawa, tuoneshe hiyo "chain iliyoshikana"Hili kwangu rahisi sana, sababu habari zake zimedhibitiwa tena kwa "Chain iliyoshikana". Hili litafata baadae, tumalize hili kwanza.
Isiwe mnajadiki ngano na visasili vya watunzi mahiri wa simulizi za kufikirika.
Soma kitabu kiitwacho sahihi Al Bukhari. Kwa kuanzia Kuna hizo chain na siyo Moja, ziko nyingi.Sawa, tuoneshe hiyo "chain iliyoshikana"
Hiko Kitabu kimeandikwa miaka Mingapi baada ya huyo Muhamad anayesadikika kuwepo?Soma kitabu kiitwacho sahihi Al Bukhari. Kwa kuanzia Kuna hizo chain na siyo Moja, ziko nyingi.
Hao unaowaona wapo misri sasa wametokea Ulaya..
Tunawaita waarabu Kwa sababu dini Yao ni waislam na wanaongea Arabic language na culture baada ya Ottoman empire kutawala hapo na dini ya Kiislam kuwa dini ya Taifa maeneo hayo ila hao asili Yao ni Macedonia,Greece na meditaranean Europe .... Actually North Africa yote Haina waarabu....wazungu wanafanya ujanja wa Ku preach uongo mda mrefu Sana Hadi watu tuanawaamini
Wamorocco na wahispania...same same tofauti ni dini Tu ..
Tunisia na Italians same same tofauti Dini... majority ya Egyptians WA sasa walitoka Greece na Macedonia...
Wale ma farao wazamani waliojenga pyramids walikuwa Nubians ambao sasa Wengi wapo Sudan...
Zamani Egypt ya Sasa na Sudan zilikuwa nchi moja..... history imekuwa edited Sana nna thread humu inaitwa Moors watu weusi waliotawala Ulaya...
Watu weusi sio Tu walitawala Egypt lakini Hadi Ulaya walitawala...hata nchi kama Sweden na Denmark zinaficha history ya "blacks Vikings"...waliowaokoa na kuanzisha mataifa Yao .walikuwa weusi...... Europe yote ilikuwa na watu weusi tena watawala na wapiganaji vita .... history imechafuliwa Sana hata Leo ukiambiwa unaona kama ndo uongo
Duh..Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.
[emoji117]Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.
Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakua mweusi.
Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokua nae huko mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadiri misri kua Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kua wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikua hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.
Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa
Cleopatra alikua anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikua anapenda kujifunza vitu na kua na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za kimisri. Kwakua Cleopatra alikua anajua na alizifuata mila na desturi za misri ndio maana wengi hua wanadhani kua cleopatra alikua Mmisri mweusi, ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12.
View attachment 2587740
[Soma zaidi hapa...]
Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika
Hello... Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's Dynasty Respectively Baada ya gharika iliyoikumba dunia wakati wa Noah (Nuhu) watoto wake wakaanza...www.jamiiforums.com
Zaidi ya miaka mia Moja.Hiko Kitabu kimeandikwa miaka Mingapi baada ya huyo Muhamad anayesadikika kuwepo?
Wanazingua...walitaka awe mzungu?Mbona daah bibie
OnhooNdio inatakiwa awe mzungu maana muhusika mwenyewe alikua mzungu
Sasa tutaaminije kitabu kilichoandikwa miaka zaidi ya miamoja kama ushahidi wa muhusika??Zaidi ya miaka mia Moja.
Ushawahi hata kukiona ? Jenga hoja.
Kisha uje kuthibitisha ya kuwa anasadikika kuwepo.
Umewahi kikisoma kwanza hicho kitabu ? Nimekwambia kina Chain inafika mpaka kwa Mtume, halafu unauliza kwamba utakiaminije ? Au hujui nini maana ya chain ?Sasa tutaaminije kitabu kilichoandikwa miaka zaidi ya miamoja kama ushahidi wa muhusika??
(By the way umepunguza, ni miaka zaidi ya 230+)
History ya Cleoptra niliwahi kuifuatilia sana na hata wewe reckodi yako siyo sahihi. Yeye kuhusishwa na Ptolemy hakumfanyi kuwa mgiriki pure. Kumbuka Cleoptra hakuzaliwa na mfalme Ptolemy mwenyewe bali alizaliwa na mmoja wa watumishi wake tena kwa kupitia "mistress" wa huyo mtumishi ambaye wakati huo alikuwa ni "kijakazi" mweusi. Wanawake wengi waliochanganya damu huwa ni wazuri sana ingawa damu nyeusi ndiyo hutawala mionekano yao. Ukiangalia hata kwenye TV za kimarekani wanawake waliochanganya damu wanawaka sana, na hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Cleoptra.Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.
👉Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.