Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

David Jesus

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
18
Reaction score
11
•MAENDELEO ni MAFANIKIO
Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie.

•Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo?
Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k ndiyo maendeleo.

•Hakuna mtu ambaye hataki maendeleo maishani

•Kupitia mtu/kaya ndiyo tunapata Jamii, Sasa tunatarajia kuangalia uhitaji/mahitaji ya kijamii.

•Mahitaji ya jamii yanaletwa na nani ?
-Hapa kielelezo ni kiongozi/serikali katika kuleta Maendeleo kwa Jamii. Mfano tunatarajia kuona upatikanaji wa MAJI SAFI NA SALAMA, BARABARA, HOSPITALI/ZAHANATI, UMEME n.k na baadae tutaona watu wanakuja kuleta maduka ya vyakula,vinywaji,nguo na n.k ndipo unaanza kuona sasa sehemu hiyo imechangamka na watu wanakimbilia kuishi hapo.

•Mara zote kiongozi katika Jamii anaweza kuwa kichochoe kikubwa vya kuleta/kudumaza maendeleo. Kama kiongozi akiwa na SHAUKU/NJAA na USHAWISHI wa kuleta maendeleo, Jamii hiyo itakuwa na Maendeleo.

•Kati ya njia nzuri ya kuleta Maendeleo tembelea/kaa na Jamii na waeleze kuona umuhimu wa kushirikiana katika kuleta Mafanikio.

•Mfano DC Jokate Mwegelo alikuwa Mkuu wa Wilaya Kisarawe,na tumesikia na tumeona juhudu na kauli mbiu zake kuishirikisha Jamii yake kuleta Maendeleo, na asilimia kubwa alishiriki shuguli za kuleta Maendeleo kuanzia kwenye mashule(#tokomeza zerokisarawe) maji,umeme na barabara tena kaifanya kisarawe ijulikane na kupata wageni kwajili ya utalii Pugu Hill,Misitu,kumbukumbu za zamani zilizopo kisarawe(kuingiza kipato)n.k kwani aliona tatizo liko wapi na anzie wapi ili jamii iweze kujipatia Maendeleo chanya.

•MAENDELEO KATIKA JAMII YAMAWEZEKANA kwa njia ipi? Tungekuwa na mfumo wa kutokuamishwa kwa kiongozi kwenda kufanyakazi sehemu nyingine ili kuyakilisha maono yake sehemu ambako hajamalizia na mbinu zake aendelee kuleta Maendeleo kwenye jamii hiyo kwa upana zaidi.

Mfano nikuletee kiongozi mmoja wapo wa wanaofanya vizuri katika kuleta mafanikio/mahali nanapofanyiakazi au kusimamia na siyo mwingine ni Mwanadada na Mweshimiwa DC Jokate Mwegelo

IMG_20210715_121606.jpg

Amekuwa chachu katika Jamii aliyokuwa anaisimamia kama kiongozi na endapo angepandishwa cheo akawa Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa jinsi alivyo nakiu nashahuku na njaa ya Maendeleo Mkoa mzima ungekuwa na sura nyingine ya kimaendeleo.

• Kama Ushauri huu utafanyiwa kazi na mamlaka husika(Serikali) KUTOKUHAMISHA VIONGOZI ILA KUWAPANDISHA NGAZI MKUU WA WILAYA - MKUU WA MKOA ANAPOFANYIA KAZI.

"Jamii ya Kitanzania kupata Maendeleo chanya inawezekana"
 
Mfano nikuletee kiongozi mmoja wapo wa wanaofanya vizuri katika kuleta mafanikio/mahali nanapofanyiakazi au kusimamia na siyo mwingine ni Mwanadada na Mweshimiwa DC Jokate MwegeloView attachment 1855714
amekuwa chachu katika Jamii aliyokuwa anaisimamia kama kiongozi na endapo angepandishwa cheo akawa Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa jinsi alivyo nakiu nashahuku na njaa ya Maendeleo Mkoa mzima ungekuwa na sura nyingine ya kimaendeleo.

•Kama Ushauri huu utafanyiwa kazi na mamlaka husika(Serikali) KUTOKUHAMISHA VIONGOZI ILA KUWAPANDISHA NGAZI MKUU WA WILAYA - MKUU WA MKOA ANAPOFANYIA KAZI.

"Jamii ya Kitanzania kupata Maendeleo chanya inawezekana"
Karibuni wadau katika Hili
 
Hakuna mtu ataliliwa na jamii kama Magu
Ha ha ha ha ha ndiyo Maana nikatolea mfano kwa ambaye yupp hai najuwa Hata yeye ukiangalia Tangia awe waziri alisimamia vizuri na alikuwa na kiu na kuiletea marndeleo JAMII ya kitanzania. Maana aliyoyafanya ni mengi na yanazungumza na yanaonekana
 
Maendeleo bila Katiba Mpya inayoelezea wajibu na haki ya kila mmoja wetu hakuna

Maendeleo bila Tume Huru ya Uchaguzi inayoonesha kila kiongozi wetu anaechaguliwa kachaguliwa kwa haki bila wizi au upendeleo,hakuna maendeleo

Mengine yote mnayoongea ni ushoga mtupu..maana mmekua na maneno mabovu hivi tangu 1961,hakuna endeleo lolote mpaka sasa!
Unajuwa katika masuala ya maendeleo kuna uwanja mpana sana. Mfano tunapozungumzia maendeleo kila MTU anayahitaji Hata nikianza na wewe Mwenyewe unayahitaji na kuangaika ili ufanikiwe. Kwa hiyo maendeleo tunaanza kuyaona kwa MTU mmoja mmoja/kaya alafu tunapandangazi kiujumla sasa kuangalia maendeleo katika JAMII yetu sasa hapa tunazungumzia mkusanyko wa wati wengi na majitaji yake.
 
Katiba haiwezi kuzuia
Unajuwa katika maduala yaaendeleo kuna uwacha mpana sana. Mfano tunapozungumzia maendeleo kila MTU anayahitaji Hata nikianza na wewe Mwenyewe unayahitaji na kuangaika ili ufanikiwe. Kwa hiyo maendeleo tunaanza kuyaona kwa MTU mmoja mmoja/kaya alafu tunapandangazi kiujumla sasa kuangalia maendeleo katika JAMII yetu sasa hapa tunazungumzia mkusanyko wa wati wengi na majitaji yake. Alafu katiba haiwezi kuzuia maendeleo endapo watu wakaamua kufanya maamuzi katika JAMII. Tumeona watu wanajitolea kuleta maendeleo katika jamii
 
Acha blah blah

Kwanza noa Kiswahili chako kiwe sahihi,hakuna vitu kama hivi:

Uwacha=Uwanja
Kuangaika=Kuhangaika
Majitaji=Mahitaji

Hakuna maendeleo ya mtu mmoja mmoja iwapo system ya uongozi ya nchi ni dysfucntional!

Mimi na wewe hatuwezi fanya biashara tukafanikiwa iwapo system nzima ya nchi ni ya hovyo namna hii...Mahakama haiaminiki,bunge linapitisha kodi zisizovumilika,katiba ya nchi haifatwi,sina uhuru wa kuchagua kiongozi ninaemtaka

Mengine unayoongea unaongea kama mlevi maana huelekeweki kabisa...

Get your thoughts together then uongee,acha hizi bangi!
Ndugu sikia nikueleze vyema. Katika maendeleo siyo kweli wewe kwamba MTU akifanya biashara hasiendelee... Na kwa mtu kama huyo Mwenye kauli kama yako tayari ameshakata tamaa na akili yake imekubali bila jambo au kuwezeshwa siwezi kufanya jambo lolote la kuleta mafanikio/maendeleo. Ila ni wangapi wanafanya biadhara na wameamuwa na leo wameingia kwenye historian ya nchi yetu kuwa kati ya watu matajiri na Wap wapo.. Mfano marehemu Mengi, tajiri mtoto wa kule Arusha. Na ambao wapo hai eanajulikana. Labda nikueleze tu maendeleo au mafanikio yanakuja endapo tu ukawa na kiu ya mafanikio. Na watu wanasema Hivi kama hujaweza kusaidia watu katika maendeleo uliyoyapata bado hujafanikiwa. Ukirejea andiko langu Hapo juu sana utaona nimezungumzia kwamba DC Jokate Mwegelo hakuwa peke yake katika kuyaleta maendeleo ya jamii ingawa yeye along kuwa kama DEREVA Mwenyewe hamu na kiu ya maendeleo ndio Maana unaona ilipokuwa Kisarawe ya mwanzo nibtofauti na sasa ila kwa MTU mmoja Mwenyewe dhamana ya kufanya jambobkwa watu wengi walio nyuma yake. Unajuwa kwenye ukweli tuwe wakweli na wawazi tu tuache ubishani.

Na Maendeleo katika JAMII zetu za kitanzania inawezekana tukiondokana na mawazo kama Hata yakushindwa kufanya jambo ila tu katika kushauri kwangu kwamba wasiwe wana hamisha hamisha viongozi ambao tayari tunaona huyu akibaki kwenye mkoa huko na akawa mkuu kwenye eneo hilo tutaona matokeo mazuri ya mafanikio au mabadirio. Kwanini ? Maana tayari huyu anauwezo wa kuleta maendeleo kwa ujumla kwasababu kipimo kidogo cha kuleta maendeleo ameweza lazima na eneo kubwa ataweza pia.
 
Wanamlilia kwa kufanya maisha yao magumu
Hapana rafiki unajuwa kila kitu MTU akifanya kizuri ni heri ukweli tuuseme hata kama mpinzani l. Yani usiwe mpinzani kwa kila kitu ndugu yangu. Kwani DC Jokate Mwegelo hajafanya vitu vikaonekana ? Wewe ni mkazi wa wilaya gani ? Maana kweli yamkini hujui aliyoyafanya ila tunayejuwa tunakwambia. Huo ndio uhalisia ndugu, karibu kwa kura yako
 
•MAENDELEO ni MAFANIKIO
Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie.

•Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo?
Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k ndiyo maendeleo.

•Hakuna mtu ambaye hataki maendeleo maishani

•Kupitia mtu/kaya ndiyo tunapata Jamii, Sasa tunatarajia kuangalia uhitaji/mahitaji ya kijamii.

•Mahitaji ya jamii yanaletwa na nani ?
-Hapa kielelezo ni kiongozi/serikali katika kuleta Maendeleo kwa Jamii. Mfano tunatarajia kuona upatikanaji wa MAJI SAFI NA SALAMA, BARABARA, HOSPITALI/ZAHANATI, UMEME n.k na baadae tutaona watu wanakuja kuleta maduka ya vyakula,vinywaji,nguo na n.k ndipo unaanza kuona sasa sehemu hiyo imechangamka na watu wanakimbilia kuishi hapo.

•Mara zote kiongozi katika Jamii anaweza kuwa kichochoe kikubwa vya kuleta/kudumaza maendeleo. Kama kiongozi akiwa na SHAUKU/NJAA na USHAWISHI wa kuleta maendeleo, Jamii hiyo itakuwa na Maendeleo.

•Kati ya njia nzuri ya kuleta Maendeleo tembelea/kaa na Jamii na waeleze kuona umuhimu wa kushirikiana katika kuleta Mafanikio.

•Mfano DC Jokate Mwegelo alikuwa Mkuu wa Wilaya Kisarawe,na tumesikia na tumeona juhudu na kauli mbiu zake kuishirikisha Jamii yake kuleta Maendeleo, na asilimia kubwa alishiriki shuguli za kuleta Maendeleo kuanzia kwenye mashule(#tokomeza zerokisarawe) maji,umeme na barabara tena kaifanya kisarawe ijulikane na kupata wageni kwajili ya utalii Pugu Hill,Misitu,kumbukumbu za zamani zilizopo kisarawe(kuingiza kipato)n.k kwani aliona tatizo liko wapi na anzie wapi ili jamii iweze kujipatia Maendeleo chanya.

•MAENDELEO KATIKA JAMII YAMAWEZEKANA kwa njia ipi? Tungekuwa na mfumo wa kutokuamishwa kwa kiongozi kwenda kufanyakazi sehemu nyingine ili kuyakilisha maono yake sehemu ambako hajamalizia na mbinu zake aendelee kuleta Maendeleo kwenye jamii hiyo kwa upana zaidi.

Mfano nikuletee kiongozi mmoja wapo wa wanaofanya vizuri katika kuleta mafanikio/mahali nanapofanyiakazi au kusimamia na siyo mwingine ni Mwanadada na Mweshimiwa DC Jokate Mwegelo

View attachment 1855714

Amekuwa chachu katika Jamii aliyokuwa anaisimamia kama kiongozi na endapo angepandishwa cheo akawa Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa jinsi alivyo nakiu nashahuku na njaa ya Maendeleo Mkoa mzima ungekuwa na sura nyingine ya kimaendeleo.

• Kama Ushauri huu utafanyiwa kazi na mamlaka husika(Serikali) KUTOKUHAMISHA VIONGOZI ILA KUWAPANDISHA NGAZI MKUU WA WILAYA - MKUU WA MKOA ANAPOFANYIA KAZI.

"Jamii ya Kitanzania kupata Maendeleo chanya inawezekana"
Propaganda za kitoto dogo
 
Wanamlilia kwa kufanya maisha yao magumu
Hakuna kisicho na mwanzo kikakosa mwisho. Mwanadamu siku zote haliziki anajipenda yeye tu ila ulinapotekea MTU anafanya kwajili ya mwingine/wengine ukweli huo tusiufiche wala kutoka kuufukia ila tuuseme pia, Maana hakuna MTU aliyekamilika kweli Hata wewe kuna mtu/watu hawakubali vitu unavyovisema ila siyo wote watakuwa kinyume chako wapo watakao kwamba hadharani hongera kwa kazi nzuri. Na wengine hawatasema hadharani yamkini wanaogopa mwanzo walikusema kwahiyo watakubaliana na wewe kimya kimya kwenye akili zao. Lazima utambue hilo. Ni ajabu MTU wa nyumbani mwako asione mazuri unayoyafanya aje ayaone mtu wa nyumba ya pili.. Tena mpaka wakawa wanamlilia angalau akatawale wiki moja tu. Inatosha, nadhani kama ni mfuatiliaji utalijua Hilo. Maendeleo kuja kwa JAMII inawezekana ndugu yangu
 
Acha blah blah

Kwanza noa Kiswahili chako kiwe sahihi,hakuna vitu kama hivi:

Uwacha=Uwanja
Kuangaika=Kuhangaika
Majitaji=Mahitaji

Hakuna maendeleo ya mtu mmoja mmoja iwapo system ya uongozi ya nchi ni dysfucntional!

Mimi na wewe hatuwezi fanya biashara tukafanikiwa iwapo system nzima ya nchi ni ya hovyo namna hii...Mahakama haiaminiki,bunge linapitisha kodi zisizovumilika,katiba ya nchi haifatwi,sina uhuru wa kuchagua kiongozi ninaemtaka

Mengine unayoongea unaongea kama mlevi maana huelekeweki kabisa...

Get your thoughts together then uongee,acha hizi bangi!
haifatwi= haifuatwi 😋😋
 
Aliyemlilia Magu kwa dhati ni Musiba, Mnyeti, Gambo, Sabaya and the like, otherwise wengine walipata mshituko wa furaha
 
Hapana ndugu nikukatishe na nikutambue tu ukweli kwamba. Unajuwa mwanzo Hata Mimi sikumuelewa niseme tu ukweli na hata haki yangu hakupata ila sikujuwa nyuma ya pazia alikuwa ni mtu/kiongozi wa namna gani. Ingawa watu wengi hatukuliona Hilo kwasababu ya GARI alilolipanda, ila baadae ya kutuonyesha namna ya kuyatafuta maendeleo na kweli kwa sehemu tumejionea Mwenyewe vitu vingi alivyovifanya kiukweli vipo wazi sana ndipo nikaja kuelewa.
Na Mara yapili alipata haki yangu na nilijifunza jambo hapa kumbe viongozi wenyewe njaa na kuleta maendeleo katika jamii wapo na inawezekana cha msingi tu kiongozi huyo anajitambua, anamsimamo, anatumia mbinu gani, n.k

Kwenye ukweli tuuseme tu jamani
 
😝😝😝😝😝😝
Huyo ni miongoni mwa viongozi makini, na mwenye kiu ya kuleta maendeleo JAMII ya nchi yetu Tanzania. Ndio maana nilisema mwanzo kuwa kiongozi yeyote Mwenyewe dhamana akiwa na kiu ya jambo Fulani alafu asijiangalie yeye tu katika kujinufaisha aone na kundi kubwa nyuma yake ya wale wanaomwangalia kama kielelezo au dereva kwa kile atakacho kisema,kifanya tena ukishirikisha na JAMII yako nakuhakikishia lazima mahali Hapo utaono tu utofauti. Kwanini ? Sababu kiongozi yupo imara na mfumo umekaa Powa lazima yatokee maendeleo/mafaniko jamani.

Karibu ndugu yangu katika kusema jambo Hili kiupana zaidi
 
Back
Top Bottom