Wana CC aliye tayari kuwa nami White Party anakaribishwaaaaaaaah!!

Mbona brother umekua msariti sasa mwisho unajiharibia mwenye.
marejesho nakuomba ukuje huku umuone huyu anavyo hangaika. Ivi ana matatizo gan kwa wewe marejesho wata mbarow huyu anavamiavamia wake za watu. Haya Paloma achana na huyo Filipo atakusabishia matatizo ukiwa nae tu anaondoka na bahati zako zote anakuachia mikosi
Namshangaa dogo huyu!? Nipo vizuri sana na sihitaji msaada!
 
Last edited by a moderator:


dogo! manoah jiangalie..............ohooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:

Umeolewa? Maana usije ukawa unaalika watu kwenye kifo
 
Paloma mpenzi hajabakia mmoja? hata mie sina patina...
Afu kiwalo cheupe nacho nimekosa sijui itakuwaje..

ngoja nikishabakishiwa na amu namie ntakurushia mmoja! afu unajua amu yupo siriasi...........
mi nimezunguka dar yote nimekosa nguo nyeupe! so uamuzi utafanyika siku hiyo hiyo.....:shut-mouth:
nimekumiss we mdada acha kabisa...............
 
Last edited by a moderator:

Mdogo wangu, kuoa si kufungwa! Nikikutana na akina Paloma, amu, ladyfurahia, Arabela, sweetlady na wengineo nisiwasalimie!!? Wife wangu marejesho si mshamba hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…