Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
we mwenyewe si unaona!?
nimeona mwaya! mhhh!
sasa embu tuongee ya maana!!! hujanitumia ticket mpaka leo...unategemea nitabandika wapi lacewig langu?
Habari zenyu Bhanaaaaaaa..........!!!!!!!!!11
Wana CC na wana JF kwa Ujumla natafuta Partner wa kuwa nae kwenye White Partyyyyyyyyyy........!!!!!!!!!!!!!11
Yeyote anakaribishwa.
VIGEZO:
Mzuri kwa Sura,
Asiwe na Pesa za Kuungaunga, yaani ajikoki kama SMG,
Asiwe Bahili bahili,
Awe anajua nini maana ya kutumia Pesa,
Mwisho awe Smart kama Mimi.............
HAYA SASA UWANJA NI WENUUUUUUU...........!!!!!!!!!!
WANAUMEEEEEEEEEEE............
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
ahahahaa.Sikujua kama wewe ndo mnoko hivo.Kikinuka nahamia kwako.copy: Mwita Maranya!
eeenh! hujambo mamito!!!
haya nani ajiuza nani ajitembeza??
ha ha ha ha ha ha unaweka petroli kwenye moto wa mafuta ya taa?[/QUOTE
mie nna moto wa kibiriti na magazeti..............
Same here .nami nimekumisi wangu..
Same here .nami nimekumisi wangu..
Mie nina wazo kama tumekosa nguo nyeupe basi tutafute zile kanzu za wenzetu wale..au tuvae madera tu yapo mengi tandika..
Teh teh.Wazo zuri sana itabidi lifanyiwe kazi...Nadhani Paloma atakubaliana nalo
nimeona mwaya! mhhh!
sasa embu tuongee ya maana!!! hujanitumia ticket mpaka leo...unategemea nitabandika wapi lacewig langu?