Wana CC aliye tayari kuwa nami White Party anakaribishwaaaaaaaah!!

Same here .nami nimekumisi wangu..
Mie nina wazo kama tumekosa nguo nyeupe basi tutafute zile kanzu za wenzetu wale..au tuvae madera tu yapo mengi tandika..

mnaweza hata kujifunga mashuka meupe kama wanawake waliopo unyagoni.

cc: Paloma

Teh teh.Wazo zuri sana itabidi lifanyiwe kazi...Nadhani Paloma atakubaliana nalo


teeeeeeeeeeeeh!
bora nikakate tetroni au chirimeni kariakoo kuliko kuliko hizo......nsijekukimbiza watu wakadhani ni mizimu!!!
 
of course he is YOUR man marejesho!
hicho ni exclamation phrase sijui niiite maana kanifurahisha! afu naskia eti wewe umemkataza asinitoe kuhusu white party! ndo mana sijatumiwa ticket ya daladala fastjet!

BTW....mume auma eeeenh....?!?!?!


OMG Paloma ...... Is Filipo your man? Embu njooni wote wawili mnihakikishie ili niamue cha kufanya faster....
 
Last edited by a moderator:
of course he is YOUR man marejesho!
hicho ni exclamation phrase sijui niiite maana kanifurahisha! afu naskia eti wewe umemkataza asinitoe kuhusu white party! ndo mana sijatumiwa ticket ya daladala fastjet!

BTW....mume auma eeeenh....?!?!?!

I am happy to hear that my dear.. Sasa ni hivi Filipo hajitambui ... Lugha uliyotumia imemfanya aamini kwamba umemkubali.... Mie hata sijamnyima kukutumia ticket ila alitakiwa kuwa wazi kwako kwamba hali ya uchumi ni ngumu......January mwezi dume mpenzi....Ana majukumu balaa........
 
Last edited by a moderator:
marejesho...........usijali my dear! ntawakopesheni!!! kwani si najua wewe unafuga kuku na una butik!!! so nikajua mambo bam-bam asipolipia baba mama anasaidia!!! Ukija white party utamuona mpenzi wa roho yangu....humu simtaji sitaki umbea...........!!!


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…