Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika.
Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba.
Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza kuuona kuwa sio relevant to fact in ishu ila ukaja kukonnect huko mbele. Tuache mihemuko.
Kesi ya jinai ni suala pana hivyo tuache kwanza majumuisho ya mashahidi wote yafanyike kisha tutapata ukweli.
Tuwe tunajadili mada kama tumeenda shule.