Na pili yake Mahakama inaanza kupata impression from the first moment. Shahidi wa mwanzo huwa muhimu Sana kwenye kujenga msingi wa kesi. It goes without saying, kuwa Hawa kina Kingai na Mahita na wngine wa wiki ijayo ndio cream ya Replic.Mtoa mada ni aidha mwanachuo wa Sheria mwaka wa pili, tatu au nne. Yaani baada ya kusoma evidence Act kuhusu factum probandum, umekuja kumwaga desa hapa.
Kwa taarifa yako, ushahidi mzuri siyo ile wenye relevant facts only, bali ule wenye credibility before the court
Kesi ya kutengeneza haiwezi kupita kirahusi kwenye stronghold ya mawakili Kama Kina Kibata et al.
Hapa Republic Labda ianze kumuandaa Pilato. Kipindi Cha mungu mtu iliwezekana Sana hii, kabla Allah hajaingilia Kati.