Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Huyu babu ni mwanga sana
Mzee Mgaya amewata Chadema kuwa wa watulivu wakati huu ambao kesi ya mwenyekiti wao inaunguruma kwenye mahakama ya mafisadi.
Mgaya anasema siyo haki kuwakejeli na kuwashambulia kwa maneno yasiyo na staha Kingai na Mahita kwa sababu walikuwa wanatimiza wajibu wao kama walinzi wa amani.
Tumuache Jaji aamue kwa haki amesisitiza Mgaya!