Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Jadili mambo kama umeenda shule bwa mdogo.Oyaaa tuliza makasesera hayo.
Tumia common sense we mwanaCcmHahahaaaa...... Wewe utakuwa ni boharia kitaaluma!
Shule ya mataga pori ndiyo ile mnayofundishwa na bush man mwenzako chakubanga.Jadili mambo kama umeenda shule bwa mdogo.
We bwamdogo, usidhanie kila mtu ni mpuuzi kama wewe.Shule ya mataga pori ndiyo ile mnayofundishwa na bush man mwenzako chakubanga.
wee ni kingai?Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika.
Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba.
Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza kuuona kuwa sio relevant to fact in ishu ila ukaja kukonnect huko mbele. Tuache mihemuko.
Kesi ya jinai ni suala pana hivyo tuache kwanza majumuisho ya mashahidi wote yafanyike kisha tutapata ukweli.
Tuwe tunajadili mada kama tumeenda shule.
Swali gani hili?wee ni kingai?
Mke wa kingai.wee ni kingai?
We mburukenge unataka mitusi?Mke wa kingai.
Sehemu kubwa ya mashahidi upande mashtaka ni hao hao polisi. Sijui kama kutakuwa na jipya zaidi ya kuendelea kukanganyana wao wa kwao. Kumbuka mwisho wa ubaya ni aibu. Producing burden of proof has turned to be producing burden of shame to them.Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika.
Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba.
Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza kuuona kuwa sio relevant to fact in ishu ila ukaja kukonnect huko mbele. Tuache mihemuko.
Kesi ya jinai ni suala pana hivyo tuache kwanza majumuisho ya mashahidi wote yafanyike kisha tutapata ukweli.
Tuwe tunajadili mada kama tumeenda shule.
Peleka huu ujinga wako CCM .Wewe siyo CHADEMA ni Lumumba FCKiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika.
Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba.
Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza kuuona kuwa sio relevant to fact in ishu ila ukaja kukonnect huko mbele. Tuache mihemuko.
Kesi ya jinai ni suala pana hivyo tuache kwanza majumuisho ya mashahidi wote yafanyike kisha tutapata ukweli.
Tuwe tunajadili mada kama tumeenda shule.
Hii ni kesi ndani ya kesi na ndiyo itakayotoa mwelekeo wa kesi husika.Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika.
Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba.
Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza kuuona kuwa sio relevant to fact in ishu ila ukaja kukonnect huko mbele. Tuache mihemuko.
Kesi ya jinai ni suala pana hivyo tuache kwanza majumuisho ya mashahidi wote yafanyike kisha tutapata ukweli.
Tuwe tunajadili mada kama tumeenda shule.
Umeelewa mada inahusu nini?Mtoa mada ni aidha mwanachuo wa Sheria mwaka wa pili, tatu au nne. Yaani baada ya kusoma evidence Act kuhusu factum probandum, umekuja kumwaga desa hapa.
Kwa taarifa yako, ushahidi mzuri siyo ile wenye relevant facts only, bali ule wenye credibility before the court
Kwani ndugu wewe utakuwa shahidi wa ngapi Kati ya 24wale wa upande wa mashtaka?Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika.