Wana-CHADEMA cross examinationa ya Mahita Jr na Ramadhan Kingai yasitupe kiburi,kesi bado mbichi sana. Ushahidi ni ishu pana

Na pili yake Mahakama inaanza kupata impression from the first moment. Shahidi wa mwanzo huwa muhimu Sana kwenye kujenga msingi wa kesi. It goes without saying, kuwa Hawa kina Kingai na Mahita na wngine wa wiki ijayo ndio cream ya Replic.

Kesi ya kutengeneza haiwezi kupita kirahusi kwenye stronghold ya mawakili Kama Kina Kibata et al.

Hapa Republic Labda ianze kumuandaa Pilato. Kipindi Cha mungu mtu iliwezekana Sana hii, kabla Allah hajaingilia Kati.
 
Kumbuka haya;.

1. Afande ACP Kungai ndiye aliyechunguza, kukamata, kuhoji watuhumiwa na kuandaa mashitaka....

2. Ndiye shahidi No. 1 wa jamhuri wa kujenga msingi wa ushahidi kuwatia hatiani watuhumiwa..!

LAKINI KAFANYEJE?

Kacheza blunder. Kajichanganya big time

Nyie mashahidi wengine mliobaki mtakuja kufanya mini sàsa?

Kumbuka kuwa hii ni kesi ya UGAIDI. Sasa mpaka hapo unaona picha yoyote ya ugaidi...?

Kaka, UONGO ni UONGO tu hata uupake rangi ya namna gani hauwezi kugeuka kuwa UKWELI...!
 
sure, nilisoma hesabu za logic ambazo hutumika sana na wachunguzi katika kuamua, zinazungumzia statement za UKWELI NA UONGO.....
UNAWEZA KOTE UKAONGEA UKWELI ILA STATEMENT MOJA UKAONGEA UONGO= JIBU LAKE WEWE NI MWOGO.

"THE SUCCESSFUL LAYWER CAN WIN A CASE IN A COURT BY STRONG REASONING"


Sasa hawa kina kingai,ziro, mahta baba mtoto waongo kabisa, Allah wasamehe hawajui wanalotenda ila mitumbo na ma v8 ndio wanatetea hata kudhuru wengine
 

Kwani hadi umekuja kuandika uzi hayo madodoso yamekugusa, au?
 
Mkuu sijui kama watakuelewa
When IGNORANCE SCREAMS, intelligence moves on.
 
Tuondolee upumbavu wako wa kiccm hapa.
 
Mzee Mgaya amewata Chadema kuwa wa watulivu wakati huu ambao kesi ya mwenyekiti wao inaunguruma kwenye mahakama ya mafisadi.

Mgaya anasema siyo haki kuwakejeli na kuwashambulia kwa maneno yasiyo na staha Kingai na Mahita kwa sababu walikuwa wanatimiza wajibu wao kama walinzi wa amani.

Tumuache Jaji aamue kwa haki amesisitiza Mgaya!
 
Kama wamechafuka siwatajiosha?
 
Huwezi kuchafuka ukiwa msafi . Ukweli huwa na tabia ya kujionesha wazi pasi na shaka. Hao magaidi Kingai na Mahita wanahitajika kufika Mahakamani wajisafishe wenyewe kwa kutuonesha alipo Moses Lijenje na Denis Urio kwanza.
Halafu tutawahoji mengine.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mwambie mzee Mgaya hii kesi ni ya hovyo, haina maslahi kwa taifa na inaleta taharuki katika jamii bila sababu ya msingi!! Awamu ya sita tangu imeingia madarakani imeshafuta kesi za hovyo hovyo za awamu ya 5 zaidi ya 200, waifute na hii pia!!
 
Mwambie mzee Mgaya hii kesi ni ya hovyo, haina maslahi kwa taifa na inaleta taharuki katika jamii bila sababu ya msingi!! Awamu ya sita tangu imeingia madarakani imeshafuta kesi za hovyo hovyo za awamu ya 5 zaidi ya 200, waifute na hii pia!!
Wapo wanaoifurahia kama akina comte,kiturilo,mtambuka na baadhi ya mazuzu. Tena wanatanguliza hukumu zao, sijui walijifunza wapi kutoa hukumu Bila kesi kusikilizwa.
 
Sasa hao makolo ambao wameshagalagala kwenye tope utasemaje CDM inawachafua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…