Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Kubali kuwa kwa sasa CDM sio saccos ya Mbowe & Co.
 
nadhani siasa za chuki na uhasama miongoni mwa wana chadema zitaendelea kukigawanya chama hicho kwa maneno na matendo hasa siku za uchaguzi hususani uchaguzi mkuu wa oct.2025,,

kwa sababu hiyo,
kwa makusudi kuna maeneo wanachadema watapigia kura vyama vingine kama ishara ya kuonyesha ghadhabu zao dhidi ya matusi waliokua wakirushiana wagombea na wafuasi wao katika uchaguzi wa ndani ya chadema uliomalizika majuzi
 
Wenye akili tulisema sema wapumbavu na washenzi huwa na kelele sana!
 
Mambo mengine ni vigumu kuamini kwa kweli, wakati anamzushia JPM mbona mlikuwa mnamshangilia? Kama kuna watu walikesha kumzushia uongo JPM basi ni viongozi wengi wa Chadema so jinsi mnavyoumia nyie kuzushiwa vivyo hivyo JPM aliumizwa na uzushi wenu hivyo kila unachomtendea mwenzako ipo siku kitakurudia hivyo muwe wapole tu.
 
Huyu mjinga ndo anaongea nini? Hana sababu alikuwa na mapenzi na Mbowe! Mwacheni aondoke zake maana hana mchango na ana mapenzi yake binafsi!
 
Retired Lusungo Ngongo bado wanapinga ushindi wa Lissu
Sipingi ushindi wa Lissu hata kidogo.

Ujinga wa Lissu ni kudharau kazi kubwa na nzuri ya Mbowe.

Upuuzi wa Lissu ni kuwaaminisha watu kwamba yeye atafanya vizuri zaidi kwakuwa ana akili nyingi wenzake ni wajinga.

Upuuzi wa Lissu ni kuwasingizia viongozi wa zamani walilamba asali sasa yeye ambaye hajalamba asali hatuoni anachofanya tangu achaguliwe.

Upuuzi wa Lissu ni kufanya kampeni chafu za kuwachafua viongozi wenzake hasa Mbowe ambaye kamfanyia mambo mengi mazuri na makubwa.
 
Maneno ya kwenye kampeni bado mmeyashikilia tu ?.....ondokeni kwenye 'campaign mode ' maisha mengine yaendelee maana uchaguzi ulishakwisha.

Fundi Mchundo JokaKuu
 
Maneno ya kwenye kampeni bado mmeyashikilia tu ?.....ondokeni kwenye 'campaign mode ' maisha mengine yaendelee maana uchaguzi ulishakwisha.

Fundi Mchundo JokaKuu
Nyie mna utoto sana maneno ya kuchafuana kiasi kile yanafutikaje?? Lissu kadharaulika mno na wenye akili zao na hatafika popote tupo hapa!!

Binafsi nilimpenda sana lakini sahv namuona kama kinyesi!! Sikuwahi fikiri Lissu ni mshenzi kiasi kile
 
Lakini msikilize, concern yake ni campaign by character assassination. Je, was that done by Lusu, kama hakufanya, then tumpuuze, kama alifanya tafuta njia ya kufuta hayo!
 
Upuuzi wako ni kupindisha maneno ili kumpa jina baya Lissu. Kubalini matokeo uchaguzi umekwisha kazi iliyopo ni kuikabili CCM haya maombolezo yenu yanawaletea sonona bure kwani hawawezi kubadilisha matokeo sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…