Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Wachaga bado mnahasira tu,
 
😂😂😂 brother you better know more deep about ccm.. Uchaguzi u me is ha TAL ameshinda tumpe muda ajenge chama
 
Nyie mna utoto sana maneno ya kuchafuana kiasi kile yanafutikaje?? Lissu kadharaulika mno na wenye akili zao na hatafika popote tupo hapa!!

Binafsi nilimpenda sana lakini sahv namuona kama kinyesi!! Sikuwahi fikiri Lissu ni mshenzi kiasi kile
Kabisa
 
Sioni namna Lissu na Lema wakiileta CDM ile…. The way Samia alivyocheza hii draft kupitia msigwa nilipoambiwa before sikuamini!! Samia sasa anakwenda kulala usingizi wa pono maana hii no reform no election aliitaka sana japo akina Wasira wanaigiza kutoitaka!!

Tuna safari ndefu sana ya vyama vingi Nchi hii!
 
Yaani binadamu umfanye mungu wako wa pili!!??
Hivi una akili timamu kweli!!??
Kuna mchungaji mmoja wa Anglican alikuwaga jirani yangu Uzunguni hapa Dodoma alikuwa anaitwa Dr. Akili, alikuwa ni hovyo kinyume na jina lake.
Hakuna Mungu wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…