Wana-CHADEMA waliokula teuzi ndani ya CCM huku UVCCM wakibaki midomo wazi

CCM huwa wanasema CHADEMA haifai kupewa nchi kwasababu haina viongozi wa kutosha. Cha ajabu CCM wanapambana kupata watu kutoka CHADEMA na kuwapa vyeo.
CHADEMA ipo tayari 2025.
 
Hapa Tanzania kuna watu wamefanya siasa kwa miaka mingi hasa kupitia vyama vya Upinzani.

Kiukweli kufanya siasa za upinzani Tanzania na maeneo mengine kama Afrika sio kazi rahisi
Hata Hivyo pamoja na changamoto hizo bado Vijana wa Upinzani wanaonekana kuwa bora na wanafaa ktk ngazi mbali mbali za uongozi.

Tukumbushane hapa list ya vijana waliokula Teuzi na kula Kuku kwa Mrija baada ya kuhamia ccm na wakaonekana Dhahabu mbele ya Wenzao ndani ya chama na Serikalini pia.

1. Patrobasi Katambi-DC
2. David Kalulila- Kamishina PPP
3.Cecil David Mwambe- Mbunge Ndanda
4. Dr Vicent Mashinji- DC Serengeti
5. Julius Mtatiro- DC Tunduru
6. Peter Lijualikali- DC Nkasi
7. Juliana Shonza- Naibu Waziri Habari
8. Dr Wilbroad Slaa- Balozi Sweden

Hao ni baadhi tu..mnaweza kuongeza list.

Mwaka 2018 Pekee viongozi takribani 138 kutoka Chadema na CUF waliripotiwa kuhama vyama vyao na kuhamia CCM.
Unajuaje kama walikuwa wanachadema?
 
Namba 1 .Gaucho Minjino si Naibu Waziri?
 
Back
Top Bottom