Wana-CHADEMA waliokula teuzi ndani ya CCM huku UVCCM wakibaki midomo wazi

Wana-CHADEMA waliokula teuzi ndani ya CCM huku UVCCM wakibaki midomo wazi

Mwita mwikwabe waitara pia yumo bila kumsahau dogoejanja Joshua nasari wengine wapo bungeni kama lusinde COVID-19 NAO ni Kwa hisani ya LUMUMBA biwwngi mno wapo kina kuchauka weeeeee ccm IPO mamulakani jina tu
Hasaswaa

Mwita Waitara- Naibu Waziri
Joshua Nasar- DC
 
Una uhakika Kila aliyeko cdm ni mwana cdm? 🤣🤣

Jiwe aliwafunulia Siri Bado hamuelewi?

Si ajabu mtaishia kulalama kama vyura.
Mm siamini katika vyama ndugu yangu Choice variable. Naamini sana katika uzalendo na nchi yangu. Ukiamini kwenye vyama utachukia wengine na kuona chama chako ni kizuri kumbe ni uongo.

Wengi kwenye vyama ni wanafiki na waongo.Siku moja, tutakuwa na vyama visivyo na wezi na wanaki kama kama kule USA. Na kuachana na wachumia tumbo na wezi, na wanaomini kuwa bila wao hakuna vyama.
 
Baki mwenyewe kuwa mzalendo
 
CHADEMA Ni chuo Cha mafunzo. Hata Msigwa atapewa post nzito maana tayari amekaangwa na kukaangika kwenye kikaango kikaangizi ambacho Ni Chadema.
Sasa hivi Msigwa Ni akili kubwa.
 
CHADEMA Ni chuo Cha mafunzo. Hata Msigwa atapewa post nzito maana tayari amekaangwa na kukaangika kwenye kikaango kikaangizi ambacho Ni Chadema.
Sasa hivi Msigwa Ni akili kubwa.
Sahihi.....wengine wanapokelewa na Polepole yeye kapokelewa na Mh Rais
 
Huyu anauza sukari za magendo tunduma aliwahi kufungwa miezi sita Kuna diwani wa mafisiem alimchomoa gerezani alishatinga jezi ya machungwa!!
Lucas Mwashambwa njoo huku Kuna watu wanakufahamu fika.
Kumbe ulikua unasambaza utamu wa magendo, yaani unakwepa kulipa Kodi za serikali, baada ya kutolewa lupango ndio ukajikita kwenye uchawa ++.
 
Back
Top Bottom