Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #21
I see this TrendingMwisho wa siku Wapinzani watajaa ndani ya CCM,watakuwa na nguvu na hakuna atakayeweza kuwazuia.
Hapo ndipo ule utabiri wa Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM utakapotimia.
Wateule wa nafasi gani?vijana wote wa ccm tayari ni wateule ndugu
Ukiwa mwanaccm tu wewe maisha yako yanakuwa marahisi automaticallyWateule wa nafasi gani?
Yanapatikanaje?Ukiwa mwanaccm tu wewe maisha yako yanakuwa marahisi automatically
Unajuaje kama walikuwa wanachadema?Hapa Tanzania kuna watu wamefanya siasa kwa miaka mingi hasa kupitia vyama vya Upinzani.
Kiukweli kufanya siasa za upinzani Tanzania na maeneo mengine kama Afrika sio kazi rahisi
Hata Hivyo pamoja na changamoto hizo bado Vijana wa Upinzani wanaonekana kuwa bora na wanafaa ktk ngazi mbali mbali za uongozi.
Tukumbushane hapa list ya vijana waliokula Teuzi na kula Kuku kwa Mrija baada ya kuhamia ccm na wakaonekana Dhahabu mbele ya Wenzao ndani ya chama na Serikalini pia.
1. Patrobasi Katambi-DC
2. David Kalulila- Kamishina PPP
3.Cecil David Mwambe- Mbunge Ndanda
4. Dr Vicent Mashinji- DC Serengeti
5. Julius Mtatiro- DC Tunduru
6. Peter Lijualikali- DC Nkasi
7. Juliana Shonza- Naibu Waziri Habari
8. Dr Wilbroad Slaa- Balozi Sweden
Hao ni baadhi tu..mnaweza kuongeza list.
Mwaka 2018 Pekee viongozi takribani 138 kutoka Chadema na CUF waliripotiwa kuhama vyama vyao na kuhamia CCM.
Namba 1 .Gaucho Minjino si Naibu Waziri?Hapa Tanzania kuna watu wamefanya siasa kwa miaka mingi hasa kupitia vyama vya Upinzani.
Kiukweli kufanya siasa za upinzani Tanzania na maeneo mengine kama Afrika sio kazi rahisi
Hata Hivyo pamoja na changamoto hizo bado Vijana wa Upinzani wanaonekana kuwa bora na wanafaa ktk ngazi mbali mbali za uongozi.
Tukumbushane hapa list ya vijana waliokula Teuzi na kula Kuku kwa Mrija baada ya kuhamia ccm na wakaonekana Dhahabu mbele ya Wenzao ndani ya chama na Serikalini pia.
1. Patrobasi Katambi-DC
2. David Kalulila- Kamishina PPP
3.Cecil David Mwambe- Mbunge Ndanda
4. Dr Vicent Mashinji- DC Serengeti
5. Julius Mtatiro- DC Tunduru
6. Peter Lijualikali- DC Nkasi
7. Juliana Shonza- Naibu Waziri Habari
8. Dr Wilbroad Slaa- Balozi Sweden
Hao ni baadhi tu..mnaweza kuongeza list.
Mwaka 2018 Pekee viongozi takribani 138 kutoka Chadema na CUF waliripotiwa kuhama vyama vyao na kuhamia CCM.
Sema uvccm "tumepauka" au umehama chamaUkiwaona uvccm huku mitaani walivyopauka midomo ni balaa
Mimi nina akili huru mkuu!Sema uvccm "tumepauka" au umehama chama
Mkuu mimi siwezi kuwa kapu moja na haya mataahira ya chura kiziwiCrimea mbona unawasema wenzako?
Mmh umehama kipindi cha mama ulikua Lucas kabisa enzi za mwendazake.....Mimi nina akili huru mkuu!
.
Si bavicha wala uvccm
wakija huko wanakutumbua unabambikizwa tuhuma ya kuwanajisi wanafunziKuna Wanangu wawili Enzi za Adv nilikuwa nawapigisha Mapindi ya Maths School..Wamekuwa MaDc...Wakihamia hii Halmshauri niliopo sijui watanikumbuka Ticha wao.
Hahaha daah tusifike huko kuitana majina mabaya.Mkuu mimi siwezi kuwa kapu moja na haya mataahira ya chura kiziwi
Naibu waziri wa habari ni Maryprisca mahundi7. Juliana Shonza- Naibu Waziri Habari
huyu ni naibu waziri OW VKAW1. Patrobasi Katambi-DC
Huyu ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga5. Julius Mtatiro- DC Tunduru
huyu alisharudishwa nchini8. Dr Wilbroad Slaa- Balozi Sweden