Wana-CHADEMA waliokula teuzi ndani ya CCM huku UVCCM wakibaki midomo wazi

Wewe endelea kupost picha za wakubwa utaendelea kuwa vuvuzela wenzako wnaakula Shavu.

Subiri Uone Peter Msigwa anapigwa kitu cha maana.
Mkuu, ndio maana mtoa hoja ana sema huko CCM wenye uwezo wa kuajiriwa Serikalini wameisha.
Ona alivyopokelewa Msigwa, utadhani ni Rais wa Nchi Za Nje amekuja kuzuru TZ, maana all top party leaders walimlaki kwa heshima kubwa sana.
 
Ofcourse Heshima ya Msigwa haikuwa ya Kitoto.

He was a Great Man
 
Ccm iache kuwatelekeza makada wake .
Kiukweli inawavunja moyo angalia hizi IDs kama zipo tena
1. Kipara Kipya
2. Trol JF
3. TumainEl
4. Stroke
5. Kawe Almn
6.Mudawote.

Hata hawa akina
Choice variable, Lucas etc watafika mahali watakata tamaa
 
Kiukweli inawavunja moyo angalia hizi IDs kama zipo tena
1. Kipara Kipya
2. Trol JF
3. TumainEl
4. Stroke
5. Kawe Almn
6.Mudawote.

Hata hawa akina
Choice variable, Lucas etc watafika mahali watakata tamaa
Ila Kila awamu inakuwa na 'mouthpiece ' wake huku JF.

Kulikuwa na kina Lizaboni jingalao enzi za awamu ya 4, wakaja kina Etwege na genge lake, Sasa ni Lucas Mwashambwa kashika usukani.
 
Dr. Wilbord Slaa muondoe kwenye hiyo list yako, hajawahi kurudi Ccm huyo.

Kama una vielelezo vya kurudi kwake viweke.
 
Uvcckijani wamebobea kwenye uchawa pekee,ndio maana inaonyesha kuwa wanashahili kubakiamoo peekeeee,kwingine sio size yaooo🏋‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…