Wana-CHADEMA waliokula teuzi ndani ya CCM huku UVCCM wakibaki midomo wazi

Kwani ukichukua sample ya damu zao, wanakuwa ni cdm? Au zinakuwa CCM? Acheni fikara za kizamani. Hivi, ni nadharia tu hazina msingi wowote
 
Kwani ukichukua sample ya damu zao, wanakuwa ni cdm? Au zinakuwa CCM? Acheni fikara za kizamani. Hivi, ni nadharia tu hazina msingi wowote
Mkuu tangu lini itikadi za vyama zikawa sehemu ya damu?
 
Mkuu tangu lini itikadi za vyama zikawa sehemu ya damu?
Obviously, nilikuwa najibu hoja kuwa walikuwa CDM sasa wapo CCM na wana vyeo huku wana CCM kindaki hawana vyeo.

Kwanza mm itikadi yangu si mpenda vyama, Ila ni mwananchi mzalendo. Kwa hiyo nilimjibu mtoa hoja, sijui ni ww au yupi.Lakin nilimaanisha kuwa ukiwa CDM ukaenda CCM ni sawa. ukatoka CCM ukaenda CDM ni sawa pia. Kuanza kusifia kuwa walikuwa CDM na sasa wana vyeo CCM huku waliokuwepo hawana vyeo, ndio sababu ya mm kusema je, wana damu ya CDM?
Mimi nafikiri, Sisi sote ni wananchi wa Tanzania. Vyama vinatupoteza tu.
 
Umeeleza kila kitu.
 
Una uhakika walikuwa Wana Chadema?
 
Sawa mkuu
 
Una uhakika Kila aliyeko cdm ni mwana cdm? 🤣🤣

Jiwe aliwafunulia Siri Bado hamuelewi?

Si ajabu mtaishia kulalama kama vyura.
 
Una uhakika Kila aliyeko cdm ni mwana cdm? 🤣🤣

Jiwe aliwafunulia Siri Bado hamuelewi?

Si ajabu mtaishia kulalama kama vyura.
Alifunua siri gani alikuwa akiwatisha na waliogoma wamenyea hadi debe?
 
Hata shetan huwawinda waliowa Mungu hawahitaj waganga na wachawi sabu tyr ni wake
 
Usilolijua au lisilozungumzwa ni kuwa hao wote ni makada wa CCM kabla ya kuwa wapinzani.

Hao ni maafisa vipenyo. Rais akiingia madarakani analetewa majina ya Watumishi wa Taasisi na wako wapi Kama akiwataka anawaita.
Watu ni Wazito kuelewa picha linavoenda, Magufuli aliona wana CCM wengi ndani ya CCM wana makundi ikabidi awaite maafisa vipenyo walioko nje ya CCM awatumie, same kwa Samia akiona makundi yanazidi mtaanza kusikia watu wanaama upinzani kila siku

If you believe bila CCM kuvunjika kwa ndani kuna chama cha upinzani kitaitoa unajidanganya.
 
Mwita mwikwabe waitara pia yumo bila kumsahau dogoejanja Joshua nasari wengine wapo bungeni kama lusinde COVID-19 NAO ni Kwa hisani ya LUMUMBA biwwngi mno wapo kina kuchauka weeeeee ccm IPO mamulakani jina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…