Hivi haya yote unaandika kwa faida ya nani wewe chawa.Namhurumia sana mama yako aliyekuzaa,kazaa upepo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jeshi la polisi Nchini limeendelea kumiminiwa sifa na pongezi kutoka kile kona Nchini kwa umadhubuti na uhodari wake wa kudhibiti na kuwadhibiti watu wote waliotaka kuleta vurugu na kuharibu amani katika jiji la Dar es salaam.

jiji ambalo linapokea maelfu kwa maelfu ya wafanyabiashara kila siku kutoka maeneo mbalimbali Nchini na Nchi mbalimbali jirani hususani kutoka jumuiya ya SADC na EAC.

Ambapo watu wameonyesha kufurahishwa na kazi nzuri iliyofanywa na jeshi hilo.wamempongeza IGP kwa kuendelea kulisimamia vyema jeshi hilo katika kuhakikisha linatimiza vyema majukumu yake ya kulinda Raia na mali zao.

Watu wanasema hawataki kuona tunu ya amani ambayo imekuwa msingi wa maendeleo yetu. ikivurugwa na watu wachache wenye maslahi yao binafsi na wanaotaka kuwatumia Watanzania kuharibu na kuchafua Taifa letu.

Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Acha kuhadaa umma wewe chaggadomo,mwenyekiti wenu alikuwa wapi alipokamtwa akiwa mwenyewe kwa maana mlimdanganya kuwa mtakuwepo cha kushangaza pale magomeni alikuwepo yeye mwenyewe tu .🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
😀😀😀Mngekwenda muandamane ili mkione cha mtema kuni
Polisi walishakiona cha mtema kuni kwenye jua kali wiki nzima,hio imetosha Mkuu 😄
Tuwe na utu,ni Watanzania wenzetu hawa,tusiishie kuwafanyisha kazi tu


Wameupiga Mwingi
 
Polisi walishakiona cha mtema kuni kwenye jua kali wiki nzima,hio imetosha Mkuu 😄
Tuwe na utu,ni Watanzania wenzetu hawa,tusiishie kuwafanyisha kazi tu


Wameupiga Mwingi
Huko ni kuweweseka baada ya kushindwa na kuona watanzania wakiwapuuza
 
Si mlisema atangulie yeye mbele tuone,, sasa ametangulia na emekamatwa bado mnasema ng'eng'enge. Mnawapa un necessary milage hao wapinzani. Ningekuwa mimi ningewalinda na maji ningewapa na mwisho wangechoka, wangenyamaza na kudandia mengine.
 
Nilisema mimi jamaniii kuandamana kwa kizazi chetu bado sanaaa sisi fani yetu ni mabishano ya mpira asubuhi mpaka jioni🐒
 
Ccm imejaa wasomi njaa,polisi imejaa felia.
Yaani akisha ajiriwa baaaaaasi.Linaswagwa kaa Ling'ombe.
Polisccm ifikie mwone aibu.

Hata hamjishtukii tu,jamii ishawaona hamnazo🖕
 
 
Hivi ukisikiaga watu wametekwa na kuuwa huwa unajisikiaje?
 
Huyu mtoa uzi ni kada mzuri na member mwaminifu wa UWT, kauli zake ni zile maarufu za kudumisha fikra sahihi za mwenyekiti.

Ukizingatia sasa mwenyekiti mwenyewe binti mwenzake hapo lazima ahorojoke hatari.

Tatizo moja hawa wamama hawapendani alianza na kutoa namba yake ya simu akitegemea teuzi lakini wapi lakini wapi, labda huyu bibie mtoa mada akaimbe mipasho kwa Hadija Kopa ataonekana mapema
 
Hao UWT hawawezi kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…