Ungekuwa Muaminifu kwa Mbowe ungekwenda kumsaidia alipokamatwa.
 
Ccm imejaa wasomi njaa,polisi imejaa felia.
Yaani akisha ajiriwa baaaaaasi.Linaswagwa kaa Ling'ombe.
Polisccm ifikie mwone aibu.

Hata hamjishtukii tu,jamii ishawaona hamnazoπŸ–•
Acha ujinga wako hapa wewe.si ungekwenda kuandamana?
 
Leo Lucas utabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuona chadema wamefyata mkia 🀣🀣🀣🀣🀣ila ww jamaaa basi tu
 
we n

awe jeuri kumb
Kwa hiyo unataka kumbembeleza mtu? Kwani yeye ni Mungu? bila yeye jukwaa hili haliendi? Kwamba wote tufanane mawazo na yeye? Yeye ni nani mpaka kutaka kupangia watu cha kuandika kinachomfurahisha yeye?
 
Leo Lucas utabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuona chadema wamefyata mkia 🀣🀣🀣🀣🀣ila ww jamaaa basi tu
Nilitaka waingie barabarani ili washikishwe adabu kidogoo.Sasa naona kumbe wanafahamu uchungu wa virunguu vya polisi. Wote wameishia kupiga porojo na blaablaa wakiwa Twitter huko.
 
Polisi wamejaa pale kumkamata Mbowe walikuwa wengi huku wezi wanaoliibia taifa wakipeta tu na kuitwa waheshimiwa

Policcm lini watakamata majizi yaliyotajwa kwenye ripoti ya CAG?
 
Misukule ya mzee Mbowe kazi mnayo
Mimi siko katika level za kuishi kwa kumsifia mtu kama machawa humu.

Mimi ninatetea watu kuzuiwa kutumia haki yao kikatiba kuandamana.

Hata siku Chadema ikishika dola ikazuia watu kuandamana nitaipinga pia.

Mwaka 2002 Moi alimuweka Uhuru Kenyatta agombee urais huku akimtosa makamu wake Prof George Saitoti , Uhuru hakuwa na uzoefu wowote kiungozi ila Moi aliandaa mtu wa kumlimda na mtiifu ili aendelee kuongoza kwa kivuli cha Uhuru japo ataonekana amestaafu huku akisema bila KANU hakuna lolote litawezekana Kenya.

Licha ya Mwai Kibaki kupata ajali mbaya karibia kufa na kushindwa kuendelea na kampeni baada ya kukimbizwa nje ya nchi wakenya hawakujali walimpigia kura Kibaki ambaya baadae aliapishwa kwenye wheelchair, Kenya iliendelea kuwepo hata bila ya uwepo wa KANU na KANU ikageuka chama cha upinzani.

Baada ya hapo utakuwa umejifunza madaraka ya ukomo , utawala mbovu una ukomo ipo siku utawala dhalimu utaondolewa na wananchi.
 
Wametii Sheria bila shuruti. Wewe ulitaka wakiuke Sheria? Hujua ya kuambiwa.....
 
Wanaandamana jf na X 😁😁
 
Wanaandamana jf na X 😁😁
 

"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."

Jeff's O'Brien.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…