Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

Na mama ameshapakimbia, mawaziri nao wamepakimbia. Shughuli zote kwa sasa ni magogoni. Ndugai alihoji akaonekana mnoko.

Serikali ya mama inaona kuendelea kuihodhi Dodoma ni kuunga mkono jitihada za marehemu kitu ambacho ye na msoga department hawataki kusikia.
 
Kutegemea pesa za taifa kuijenga dodoma ni uzwazwa na ujinga.kwani dodoma wao hawana halmashauri kuijenga mji wao?
Acheni upumbavu kwa sasa taifa lina miradi mikubwa mno inayotumia pesa nyingi za serikali.
Hii nchi ya watu wote.kama dodoma inataka iendelee isitegemea pesa za serikali kuu itafuta pesa zake zenyewe kama Dar,mwanza
 
Mwanza imejengwa na wafanya biashara Dodoma serikali hiyo ndio tofaoti serikali,miji yote dar mwanza arusha mbeya kahama inapendeza kwa sababu imejengwa na wafanya biashara sio serikali
 
Nimeishi dodoma toka 2007-2021 na sasa nipo mwanza kiukweli kuilinganisha dodoma na mwanza ni dhambi, dodoma bado mnoo
 
Umetembea Dodoma mitaa gani,acha hizo.Dodoma ni moja wapo ya miji inayokuwa kwa kasi hapa Tanzania...
Dodoma ukiondoa wabunge na wanachuo kuna nini?labuda wagogo na warangi tu
 
Umefikia chedegwa ukatembea hadi machinga complex na kupiga picha nyerere square alafu unakuja na bandiko la kuiponda Dodoma mkuu?
Dodoma hakuna wafanya biashara bali kuna wagogo na warangi tu mwanza kuna wafanya biashara tofaotisha
 
Ngosha kwenye ubora wako
 
Mkuu ni makuelewa watu walizani Dodoma itachangamka baada ya serikali kuhamia,wakasahau kuwa uchangamfu wa eneo uletwa na wafanya biashara sio serikali Dodoma hakuna mzunguko wa hela kama mwanza wabunge na wanachuo wakiondoka Dodoma kunasalia wagogo na warangi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…