Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

Wana Dodoma mkiachana na Machinga Complex, ni kipi kingine Rais Samia Kawafanyia?

Nimekuapo Dodoma hapa Kwa wiki mbili, Wiki Moja nikiitumia kufanya yalonileta, Wiki Moja nikiitumia Kutembezwa tembezwa na Bidada Mmoja wa hapa JF( ubarikiwe Bidada ).


Itoshe tu kusema, katika watanzania Milion 61 , Watanzania wa Mkoa wa Dodoma, ni Watanzania ambao wanatakiwa Kila mwaka wafanye ibada ya kumkumbuka Hayati John Pombe Magufuli !!.

Mji umedorora, hamna projects Mpya ukiachilia mbali za Hayati JPM, kumbe Hayati asingelazimisha Serikali kuhamia Dodoma, Haka kamkoa kalikua ni kaajabu mnoo.


Dodoma hii ndio mnaishindanisha na Mwanza?? Ule Uzi wa kushindanisha ,sijawah usoma ,ila itoshe kusema ,Mwandishi wa ule Uzi alitumia kiungo kingine kufikiria Hilo na sio Akili.


Mji mchafu mchafu ,una vichaka na tumapori katikati ya jiji , Majani barabaran, Mji umepauka kinoma, huduma za kijamii zipo chiiini mnooo , maeneo mengi kiusalama hayako vizuri , maji ya chumviii kwelikweli !!


Mshukurin sana Mwamba Hayati JPM, kumbe ndio maana mlikua mnaongoza Kwa kua ombaomba.
naweza nikakubaliana na ww kama ukilinganisha Dodoma na majiji makubwa ya ulaya ila siyo vjij vngne apa Tanzania cjui kwanza kunako nuka shombo [emoji23][emoji28][emoji2]
 
Mimi majina ya mitaa yenu siijui, ila nmetembelea sehem zote muhimu muhim kibiashara, shughuli za kiserikali na baadhi ya sehem za kitaasisi .


Dodoma usihangae kuona ni Jengo la ghorofa refuuuuuu ila limezungukwa na majani, tunjia twa vumbi , tuvichaka, uchafu uchafu pemben
Ktk mjini unaojengwa vzr sna kwa mpngo miji haswa huu mji wa kiserekali ddm inaongzaa aisee sijui unaichukuliaje dddm hb HV sas
 
Back
Top Bottom