Ngugu yangu huo ni mgawanyo wa kazi Wote tukiwa wanasheria nani atawaoshea magari yenu????
Duuh kama Baba yako alikuwa Director wa chama cha ushirika alitegemea utaishia kuosha Magari ... Inasikitisha saaaana...
tusker baridi,mimi nilimaliza 1982 nilikuwa na kaka yake zena mkwawa.
Je ulikuta mchaka mchaka wa kila asubuhi na kukaguliwa chupi kwenye hall?
Nilikuwa iringa aisee ile barabara toka ruaha mbuyuni ni kama ya ulaya ile standard sijaiona TZ hii. Wale mainjinia ni kiboka sijui wajerumani wale, kweli wamejitaidi kututendea haki.
tz1 hivi Cool nine naye alikufa?(spelling sina uhakika nazo),shetani huyu jamaa alikua mbabe sana mi nilisoma muungano primary ss kule ndo ilikua anga zake,Micki mbabe wa mitaa ya kienyeji na mshindoShedadi na ndugu zake wote wa mekufa ila yule Dada yao chola yupo sinza.manyau anakaa kigogo.
tz1 hivi Cool nine naye alikufa?(spelling sina uhakika nazo),shetani huyu jamaa alikua mbabe sana mi nilisoma muungano primary ss kule ndo ilikua anga zake,Micki mbabe wa mitaa ya kienyeji na mshindo
Pia kuna Jamaa alikuwa anaitwa Mwalimu alikuwa anakaa na kina Nashesha Mvungi Mtoto wa Meneja wa Tanesco Mkoa,Fred Mwanri Mtoto wa Mhasibu wa wilaya Iringa,Faraja na Fred Makari Baba yao alikuwa Meneja wa RTC wapo wapi hawa?