Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Ngugu yangu huo ni mgawanyo wa kazi Wote tukiwa wanasheria nani atawaoshea magari yenu????
Sio kwamba ni jambo la ajabu mtu kuosha magari, kufagia barabara nk. Inauma pale mtu mlisoma pamoja tena mnapata elimu iliyo bora ila katika mgawanyo wa maisha anaishia huko, usidhani nimedharau bali nimepata simanzi.