Wana JF jifunzeni kutoka kwangu.(somo nimelipata)

yani gunner umeona watu wametulia zao ila umeamua kuwachokoza kwa makusudi bado unasema haujiskii kugombana na mtu like seriously?,, unachekesha mwanetu
 
yani gunner umeona watu wametulia zao ila umeamua kuwachokoza kwa makusudi bado unasema haujiskii kugombana na mtu like seriously?,, unachekesha mwanetu
Actually uzi wangu nimeelezea nia yangu ya kubadilika na kuacha drama ila watu wananishushia matusi

Sasa nimewapa uwanja wanitukane, maana wao ndo wanacho kitaka
 
Watu wamebeba maumivu sana humu duniani na wanapenda sana kuumiza wengine emotionally. Na huwa wanapenda. Sana kulinda ego zao,

Haya uwanja uko wazi leo shusheni nyongo zenu zote kabisa..

Wote mnaonichukia njooni mnitukane.

Maybe mtaona hakuna maana yoyote kama mimi nilivyo ona
 
Actually uzi wangu nimeelezea nia yangu ya kubadilika na kuacha drama ila watu wananishushia matusi

Sasa nimewapa uwanja wanitukane, maana wao ndo wanacho kitaka
kuna vingine sio lazima useme, onesha vitendo watu ndio watakao sema gunner kabadilika au lah ila kuwatag watu wasio taka uwatag sio vizuri, tulia mdogo wetu
 
kuna vingine sio lazima useme, onesha vitendo watu ndio watakao sema gunner kabadilika au lah ila kuwatag watu wasio taka uwatag sio vizuri, tulia mdogo wetu
Kwanza mm sina udongo huo, unaodhani almost in my 30s now..

Kutag mtu sio kosa hasa unapotaka kuongea kitu kizuri

Kwanini mtu asiwe na hekima

Watu huwa wanapenda kutaka battle tu ndo maana unaona wanaporomosha matusi na kudhani wananijua, ila yote ni uzushi wa kutaka kkunishusha chini.

Haya basi nawaita wote waje kunitukana maana labda nao wataona kuwa haina haja na ni ujinga tu
 
ok
 
Kuna watu humu hawagusiki 1. Robert Heriel Mtibeli 2. Kiranga 3. @infraprenour 4. GENTAMYCINE 5. Eli Cohen
 
ok.πŸ’
 
Mkuu ifanye Jf kama sehemu ya kurefresh mind tu usiumize kichwa kuhusu sisi. Tunakula, tunaoga na tunalala. Kwahiyo usijipe umuhimu sana kwaajili yetu mathalani akili za kuvukia barabara tunazo inatosha
Sawa,
Hata mimi sijajipa umuhimu bali nimeandika kwa ajili yangu na wengine wenye kutaka kujifunza.

Sio kila mmoja atapenda nilicho taka a jifunze kutoka kwangu nayo ni sawa pia.

Siko hapa kujipa umuhimu hasa kwenye hili bandiko, niko kuelezea kitu nilicho jifunza huenda mtu(mwenye kuliona na kuchukua funzo atachukua)
 
Haya basi njooni mnitukane, njooni wote mnitukane
Umezira eti?😝😝😝😝😝
Hapo umeandika ukilia huku inapiga piga miguu chini. Haya futa kamasi hizo usilie tena Great thinker wetu.
 
Umezira eti?😝😝😝😝😝
Hapo umeandika ukilia huku inapiga piga miguu chini. Haya futa kamasi hizo usilie tena Great thinker wetu.
Nimeandika ili niwe sponji wa wenye trauma wote 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…