Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 286
- 749
| A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA | B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA |
| 1.Alikuwepo eneo la tukio | 1.Hakuwepo eneo latukio |
| 2. | |
| 3. | |
| 4. | |
| 5. |
Tai dume kijana wangu upo?Nipe 15k yangu
- Uhalisia wa mazingirq
- Aliyeona anajua mazingira na hali halisi ya tukio, hivyo anaweza kutoa maelezo ya kina.
- Aliyesikia anategemea maelezo ya mtu mwingine, hivyo habari inaweza kuwa na mapungufu.
- Uhalisia wa Tukio
- Aliyeona anawasilisha tukio kwa maono yake, akieleza hisia na maelezo halisi.
- Aliyesikia anaweza kuleta tafsiri tofauti, kwani ni maelezo ya pili.
- Uhakika
- Aliyeona anaweza kuthibitisha ukweli wa tukio aliloshuhudia.
- Aliyesikia anaweza kuwa na shaka kuhusu ukweli wa taarifa aliyosikia.
- Uwasilishaji
- Aliyeona anatumia vigezo vya kuona na kuhisi, hivyo habari inaweza kuwa na undani zaidi.
- Aliyesikia anatumia maneno pekee, na anaweza kukosa vipengele vya kihisia.
- Athari kwa hadhira
- Habari ya aliyeona inaweza kuathiri wasikilizaji kwa kina kutokana na uhalisia wake.
- Habari ya aliyesikia inaweza kuwa na athari ndogo zaidi, kwani ni tafsiri ya pili ya tukio.
Nipo sana boss. Kimya mkuuTai dume kijana wangu upo?
UMECHEMKA NDUGUNipe 15k yangu

Kwani Kuna maksi zinatolewa boss?UMECHEMKA NDUGU
Kimyq cha mapambano ndugu madili mpaka tuwange ndo yaende. Sio poa kabisaNipo sana boss. Kimya mkuu
Take easy..Matajiri wa Jf wanaoshindana kukata kiuno kwenye promotion za Tigo ili wapewe Tshirt wanakuja kujibu
Sawa mzee wa NongwaTake easy..