Hujui kuwa maswali ambayo hayana msingi hujibiwa hivyo?Kwanini unauliza swali kabla ujajibu swali
Duh,hasira nyingine hatareeefede kaungulia dukani kwake wengine wanasema kajichoma huko kisa issue za tra wanamsumbua akajichomea ndani kabikia fuvu tu pale marangu mtoni... nimehuzunika chalii lilikuwa limejijenga hatari
Yenye secondari je ujibiwajeHujui kuwa maswali ambayo hayana msingi hujibiwa hivyo?
hasira tu .. lakini bado haijawa proven kama ni kweli ni tra sababuDuh,hasira nyingine hatareee
Sasa hapo kawakomoa TRA au ?
Apumzike panapostahili
Babu mjukuu wako kakumis njoo home kwanza ...kfHatuachi kitu...
View attachment 578099
Yaani unafahamiana na wengi halafu mimi hunijui..vibaya hivyo!Mie nawafaham watu wengi hapa... one big family..
Long live JF
Nipe maana ya neno secondary nikujibuYenye secondari je ujibiwaje
Poleni kyaahasira tu .. lakini bado haijawa proven kama ni kweli ni tra sababu
mio sio ccm izo ni nguo za kazini tuKumbe ni akili za UVCCM pole sana
Kwa kuwa chama chakavu
Xhaka humudu yupo?
asante mkuuPoleni kyaa
Kazi gani watu wanavaa ivyo?mio sio ccm izo ni nguo za kazini tu
UVCCM AU UNAZANI VYAMA AVIAJILI NINI?Kazi gani watu wanavaa ivyo?
Mbona unakataa sio mwana CCM?UVCCM AU UNAZANI VYAMA AVIAJILI NINI?
Unataka kuwa miongoni muhenga mwenzangu?Mie muhenga ni miongoni mwa hao wachache Khantwe au..?
Tumetoka mbali ujue.. Tuna sifa zote za uhenga[emoji12] [emoji12]
Hatuachi kitu...
View attachment 578099