Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

fede kaungulia dukani kwake wengine wanasema kajichoma huko kisa issue za tra wanamsumbua akajichomea ndani kabikia fuvu tu pale marangu mtoni... nimehuzunika chalii lilikuwa limejijenga hatari
Duh,hasira nyingine hatareee

Sasa hapo kawakomoa TRA au ?

Apumzike panapostahili
 
Ilaa hope timu nzima mtashibaa
d6b24690bdc29dabe6e9537076faf221.jpg
Hatuachi kitu...
upload_2017-8-30_13-35-57.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom