sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Basi itakuwa ww ni jasusi mwenzake na Yerico
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi itakuwa ww ni jasusi mwenzake na Yerico
Dah..ivi huyu jamaa yupo kweli?Einstein Newton ukuje huku
Mie nawafahamu hawa:-
1. Maxence Melo
2. Zitto
3. Malisa Godlisten
4. Halima Mdee
5. John Mnyika
6. Kubenea
7. Sugu
8. Ben Saanane
9. Yericko Nyerere
10. W. J. Malecela
Sent using Jamii Forums mobile app
humu jamii forum najuana na watu wasiopungua 100,Wana Bodi habarini za Jumapili. Kwa hakika JF ni jukwaa zuri mno. Nimemfahamu mwana JF mmoja hapa. Nikam PM kisha tukaanza kuwasiliana nje ya JF. Tumeanzisha biashara pamoja na sasa maisha yanasonga mbele.
Kama umempata rafiki, mchumba au mbia wa kibiashara njoo huku utoe ushuhuda ili wengine wasiwe wanapotezea PM zako. Karibun.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe unaogopa jomba?naona mnaanza kutuwinda wale tunaofahamiana na acacia....hamtupati ng'oooo!!!
Nikiwemo babu yako, right?Nafahamiana na wachache wenye faida.
Mi na wewe tumefahamiana wapi?nawafahamu wengi wengi