Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Wana Bodi habarini za Jumapili. Kwa hakika JF ni jukwaa zuri mno. Nimemfahamu mwana JF mmoja hapa. Nikam PM kisha tukaanza kuwasiliana nje ya JF. Tumeanzisha biashara pamoja na sasa maisha yanasonga mbele.

Kama umempata rafiki, mchumba au mbia wa kibiashara njoo huku utoe ushuhuda ili wengine wasiwe wanapotezea PM zako. Karibun.

Sent using Jamii Forums mobile app
humu jamii forum najuana na watu wasiopungua 100,

Kuanzia wale ninaosoma nao na wengine wengi nimewapata humuhumu.

Wengine humu dada zangu wa hiyari,wengine wamekuwa wanangu sana.


Mmoja humu ni demu wangu na tunakaribia kufunga ndoa.
 
Nafahamu watu wengi member wa jf ila sijuagi id zao

blame no body
 
Back
Top Bottom