Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Maty punguza udhaifu
Nadhani wewe utamsaidia aache woga...
Imenikumbusha movie moja ya dada aliyekuwa anaogoma one-eyed snake hadi kutema ndoa kibao!!
Please Maty...naomba sana usianzishe ugomvi...
Mimi nimesema huyo dada aache kuwa defensive. Achukue time amfahamu BF wake mpya. Ikibidi kupata chakula cha bwana siyo vibaya. Hiyo hata ukienda kwa Karndali....atakuhakikishia kuwa iko kwenye maandika mapya au wewe umeelewaje?
Nashukuru wote kwa ushauri wenu jamani kiukweli nimetoka na kitu kipya leo hapa JF
Nakisubiri kwa hamu rose karibuuuu mi ntaacha milango yote wazi wa nyuma na wa mbele ili usipate shida ya kugonga mwaya
Vile nijuavyo kupenda ni kumpokea mtu vile alivyo na kumtipia ndani kabisa ya uvungu wako wa moyoni,kama kuna sbabu yoyote iliyomfanya huyo rafki yako azimike kama uhandsome nk,hiyo hapo hamna kupenda cha msingi akae kwa miezi kumi na mbili asikilize hisia zake za ndani kabisa zinamwambia nini kuhusu huyo HB,na pia si vbaya katika kipindi hiki akiwa anatembeleana na jamaa ila sio private kivile ili ajaribu kuzisoma hisia za jamaa vilevile,la kama akijipeleka mwenyewe hiyo siku ya jumamozi namuombea kwa Mungu wa ISAKA NA YAKOBO amegweeeeeeeeeee kisha aachwe kwenye mataa make nyie kina dada! lol
Habari yako banaaaa
Kitu kipya ni gani hicho:smile:
Udhaifu gani tena nguli mbona wanchanganya?
Yaani rose huyo mkaka sio handsam ila pia sio mbaya lakini katika mahandsam huwezi kumuweka na huyo bidada anapendaga sana mahandsam ndio maana akawa anajishangaa imekuuwaje amempenda huyu gafla wakati hazimikiagi wa dizaini hizi
Labda avae kofuli la chuma....!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::dance::dance::dance::dance:
Poa mkuu upo?
Kwamba zama hizi no ndoa kabla hujapata dudu
Ewaaaaaa!mi ntamsaidia Rose kukuletea huo mzigo na hata kama nikigonga mara mbili nikiona kimya naweza kumwaga tu huo mzigo mlango wa nyuma au unasemaje Maty??
Wewe naona sasa unataka tuanze kuulizana maswali na kujumlisha namba....
Unawajua ambao wameweza hicho kitu? Au ndoa zinazofungwa baina ya watu 3 huzioni?[/QUOTE]
Mi hapo umeniacha chenzema babu mi sijaelewa kabisa mbona sasa hivi waanza kunfumba?