Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

Vile nijuavyo kupenda ni kumpokea mtu vile alivyo na kumtipia ndani kabisa ya uvungu wako wa moyoni,kama kuna sbabu yoyote iliyomfanya huyo rafki yako azimike kama uhandsome nk,hiyo hapo hamna kupenda cha msingi akae kwa miezi kumi na mbili asikilize hisia zake za ndani kabisa zinamwambia nini kuhusu huyo HB,na pia si vbaya katika kipindi hiki akiwa anatembeleana na jamaa ila sio private kivile ili ajaribu kuzisoma hisia za jamaa vilevile,la kama akijipeleka mwenyewe hiyo siku ya jumamozi namuombea kwa Mungu wa ISAKA NA YAKOBO amegweeeeeeeeeee kisha aachwe kwenye mataa make nyie kina dada! lol
 
Nadhani wewe utamsaidia aache woga...

Imenikumbusha movie moja ya dada aliyekuwa anaogoma one-eyed snake hadi kutema ndoa kibao!!

Labda ndio mara yake ya kwanza kumegwa but i doubt:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Please Maty...naomba sana usianzishe ugomvi...

Mimi nimesema huyo dada aache kuwa defensive. Achukue time amfahamu BF wake mpya. Ikibidi kupata chakula cha bwana siyo vibaya. Hiyo hata ukienda kwa Karndali....atakuhakikishia kuwa iko kwenye maandika mapya au wewe umeelewaje?

Nimekuelewa vizuri DC lol nimecheka leo mpaka basi nashukuru sana babu mana leo umenipa mavituuuuuuuuuuuuuuuuuuz mpaka basi
 
Nakisubiri kwa hamu rose karibuuuu mi ntaacha milango yote wazi wa nyuma na wa mbele ili usipate shida ya kugonga mwaya

Ewaaaaaa!mi ntamsaidia Rose kukuletea huo mzigo na hata kama nikigonga mara mbili nikiona kimya naweza kumwaga tu huo mzigo mlango wa nyuma au unasemaje Maty??
 
Vile nijuavyo kupenda ni kumpokea mtu vile alivyo na kumtipia ndani kabisa ya uvungu wako wa moyoni,kama kuna sbabu yoyote iliyomfanya huyo rafki yako azimike kama uhandsome nk,hiyo hapo hamna kupenda cha msingi akae kwa miezi kumi na mbili asikilize hisia zake za ndani kabisa zinamwambia nini kuhusu huyo HB,na pia si vbaya katika kipindi hiki akiwa anatembeleana na jamaa ila sio private kivile ili ajaribu kuzisoma hisia za jamaa vilevile,la kama akijipeleka mwenyewe hiyo siku ya jumamozi namuombea kwa Mungu wa ISAKA NA YAKOBO amegweeeeeeeeeee kisha aachwe kwenye mataa make nyie kina dada! lol

Maneno makali sana haya baba mwe punguza basi hasira lol wantisha

Yaani rose huyo mkaka sio handsam ila pia sio mbaya lakini katika mahandsam huwezi kumuweka na huyo bidada anapendaga sana mahandsam ndio maana akawa anajishangaa imekuuwaje amempenda huyu gafla wakati hazimikiagi wa dizaini hizi

Mwambie aachane nae huyo jamaa kwani inavyoonekana kapigwa kipapai ili amtamani!!jini hilo!:whistle::dance::dance:
 
Kwamba zama hizi no ndoa kabla hujapata dudu

Wewe naona sasa unataka tuanze kuulizana maswali na kujumlisha namba....

Unawajua ambao wameweza hicho kitu? Au ndoa zinazofungwa baina ya watu 3 huzioni?
 
Ewaaaaaa!mi ntamsaidia Rose kukuletea huo mzigo na hata kama nikigonga mara mbili nikiona kimya naweza kumwaga tu huo mzigo mlango wa nyuma au unasemaje Maty??

Bacha hebu ridhika na kilichohalalishwa baba au we ulioa kabla huja do nini matokeo yake ukaja kukuta umepata kitu over size alafu ushaapa for better for wesi mbele ya pilato
 
Nipo mkuu tunamsaidia mutu hapa yeye ogopa kwenda jumbani mwa ile kaka yeye ogopa kumegwa

Halafu kaka DC hivi ukishaimega halafu unairudishiaje me nakonfyuzika hapa mbona?
 
Wewe naona sasa unataka tuanze kuulizana maswali na kujumlisha namba....

Unawajua ambao wameweza hicho kitu? Au ndoa zinazofungwa baina ya watu 3 huzioni?[/QUOTE]

Mi hapo umeniacha chenzema babu mi sijaelewa kabisa mbona sasa hivi waanza kunfumba?
 
Back
Top Bottom