Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Vile nijuavyo kupenda ni kumpokea mtu vile alivyo na kumtipia ndani kabisa ya uvungu wako wa moyoni,kama kuna sbabu yoyote iliyomfanya huyo rafki yako azimike kama uhandsome nk,hiyo hapo hamna kupenda cha msingi akae kwa miezi kumi na mbili asikilize hisia zake za ndani kabisa zinamwambia nini kuhusu huyo HB,na pia si vbaya katika kipindi hiki akiwa anatembeleana na jamaa ila sio private kivile ili ajaribu kuzisoma hisia za jamaa vilevile,la kama akijipeleka mwenyewe hiyo siku ya jumamozi namuombea kwa Mungu wa ISAKA NA YAKOBO amegweeeeeeeeeee kisha aachwe kwenye mataa make nyie kina dada! lol