Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni wakala wa mitandao ya simu na ofisi yake iko hapa hapa TegetaThere is no way kwamba jamaa ahusiki, japo ndio anaweza asihusike kwa asilimia zote,
Ni kwamba ana amemkosea nani na kiasi gani kiasi kwamba awe Framed katika uhalifu..??
Kama ni tukio na kumdhuru mtu, huyo jamaa ana uhusiano gani na huyo mtu?
Kama ni tukio la wizi na ukabaji, jamaa ana shughuli gani hapa mjini ya kumuingizia kipato?
HAPANA, HAPANA, hapana aiseeee akili Yangu inanigomea kukubali hili. Why azime Simu? Why asiripoti kwa Ndugu zake, mmmmmgh Watu hubadilika kama ulivyosemaAnasema zilipita siku 2 akapigiwa simu na police kuwa anahitajika kituoni Kimara.
Anasema hakwenda kwa kuhofia huenda ni watu wasio wema kisha akazima simu.
lakini mkuu si kila simu unayopigiwa ukaambiwa imetoka polisi inakuwa kweli zingine ni mitego tu ya wahuni..kwani wakina Soka si walipigiwa simu kama hivyo wako wapi leo
Sio kwa tiketi iliyotoka mbezi ama popote pale hadi kufika kimara..., nahisi umeshatoa jibu... huenda Kesi ni nyingine na aihusiani na tiketi... atoe tu ushirikianoNdugu, yapo matukio mengi mno ya watu kufanya uhalifu kwa kutumia utambulisho wa mtu mwingine.
Kabisa mkuu.HAPANA, HAPANA, hapana aiseeee akili Yangu inanigomea kukubali hili. Why azime Simu? Why asiripoti kwa Ndugu zake, mmmmmgh Watu hubadilika kama ulivyosema
Kabisa kabisa mkuu.Siku hizi teknolojia imekuwa sana mtu anaweza kutumia taarifa zako hata kuiba hela kwenye account yako. Nawashauri watu wasitumie majina yao sahihi na tarehe zao za kuzaliwa hata kwenye mitandao mengine ya kijamii kama Insta na Facebook.
Sikia, fanya research kidogo tu.Sio kwa tiketi iliyotoka mbezi ama popote pale hadi kufika kimara..., nahisi umeshatoa jibu... huenda Kesi ni nyingine na aihusiani na tiketi... atoe tu ushirikiano
Njoo PMMimi huwa nachana mikeka tu. Tiketi naacha kwenye basi
Hapa apaone AhyanMimi ilikua almanusura kupigwa tukio kwenye guest fulani ndani ya mkoa Y, kosa nililofanya ni kuacha risiti zangu za benki kwenye dustbin la chumba nilichopanga, maana risiti huonyesha balance iliyobaki kwenye akaunti yangu.
Aisee the rest siwezi kuelezea mana story ni ndefu, ila nimejifunza hata leo nikienda ATM siombi risiti na hata nikiiomba ili kujua salio basi huichana papo hapo.
Sijakataa hoja yako wala kuipinga...Sikia, fanya research kidogo tu.
Sio kama namtetea ila napingana na hoja yako kuwa tiketi haiwezi kufanyiwa uhalifu.
Inaweza kutumiwa vizuri mno.
Ingia mitandaoni kisha utapata majibu.
Wezi/vibaka wamevunja duka la nguo na accessories na kuiba baadhi ila kwenye droo ya kutunzia fedha juu yake ndio wamekuta hii tiketi.Sijakataa hoja yako wala kuipinga...
Mimi nimejiuliza maswali, nikaja na jambo, ambalo halileti uhalali kwamba yeye ndiye mhusika kwa 100%
Katoka Arusha kuja Dar,
Tiketi kaitupa (hatujui wapi)
Tukio linatokea (kimara)
Wananchi wameona tiketi yenye taarifa zake (anajulikana huo mtaa/hilo eneo?)
Anapigiwa simu akiwa nyumbani/kazini (tegeta)
Anazima simu (kisa polisi)
Anatafutwa
Kakamatwa
Labda tujue tu ni tukio gani (uhalifu gani) lilitokea ambalo anahusishwa nalo??
Sio kupotezewa muda tu, hawa wa kwetu mateso ni sehemu ya upeleleziWatafanya uchunguzi wakiona hana hatia watamuachia, haya mambo muda mwingine bn yaweza tokea tu ila kama hujahusika utatoka changamoto inakua umepotezewa muda.....Kuna jamaa aliwekwa rumande zaidi ya siku 14 kwa kufananishwa na muhalifu
Mateso ndo mbayaSio kupotezewa muda tu, hawa wa kwetu mateso ni sehemu ya upelelezi