Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwake. Mimi hata nikiweka vocha ya kukwangua huwa nachana. Nilielekezwaga na Afisa Upelelezi mmoja kwamba kukitokea tukio lolote kwenye kutafuta taarifa sahihi wanakusanya chochote kilichopo eneo hilo. So kwa mfano uhalifu umetokea and wakakuta vocha imekwanguliwa ndani ya eneo husika watafanya walichofanya kwa rafiki yako. Cha msingi tu awape ushirikiano watajua if he is guilty or notJamani, Jamani
Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako.
Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya tiketi yake ya ki-electronic ya basi moja kutoka Arusha kuja Dar kukutwa kwenye tukio la uhalifu Kimara Bucha.
Yeye rafiki yangu anasema baada ya kushuka Mbezi Magufuli stendi, aliamua kuikunja na kuitupa tiketi yake karibu na lango la kutokea na baada ya hapo akaendelea na safari ya kuelekea kwake Tegeta.
Anasema zilipita siku 2 akapigiwa simu na police kuwa anahitajika kituoni Kimara.
Anasema hakwenda kwa kuhofia huenda ni watu wasio wema kisha akazima simu.
Anasema kesho yake anashangaa kuona police wako nyumbani kwake na wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa la uhalifu uliotokea maeneo ya Kimara bucha.
Na anasema walihisi walimpata kupitia Facebook, (mutual friend mmoja akatafutwa kisha akawaelekeza kwake).
Rafiki yangu si mtu wa kujichanganya sana na watu. Iwe usiku au mchana, akiwa ndani hujui na wala akienda kibaruani hujui.
Anasema ahusiki na tukio na wala hajafanya uhalifu wala kuwa na rekodi yoyote ya uhalifu.
Hapa tunashindwa cha kufanya.
Hatujui kama kweli kahusika au lah!
Sisi tunajua ahusiki ila binadamu hubadilika.
Ila maadam iko mikononi mwa jeshi la polisi tutajua tu hatma yake na wahusika halisi
Chana au haribu kabisa karatasi/tiketi ya basi/meli/treni/ndege/CV/copy yako ya NIDA na nyinginezo zenye taarifa zako sahihi.

Ametuhumiwa kutenda kosa gani kwanza...Vipi kama wabaya wake walikuwa nje kwake au kama walikuwa jirani na kituo cha police ila wametumia gia ya upolice?
Ndugu, suala la kutekwa lisikie kwa jirani.
Wangapi waliitwa na vyombo ya dola na hawakurudi mpaka leo?
Ndugu...acha kabisa mawazo hayo.
Usichoelewa ni nini?Tiketi ya basi inahusiana vipi na uhalifu hata kama imekutwa eneo la uhalifu??
Anyway, tiketi za electronics huwa zinaacha footprint kwenye database husika iliyotumika kukata tiketi, mtandao wa simu nao hubaki na kumbukumbu...
Simu yake kama alisafiri inaacha alama za mahali alipotembelea kwenye database za mitandao ya simu...
Hakuna kesi hapo unless hii iwe togwa mixer alkasusu...
Nakumbushia na kusaini vitabu vya mahudhurio iwe kazin au sehem yoyote utakayoingia ambayo inahitaj kusainiJamani, Jamani
Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako.
Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya tiketi yake ya ki-electronic ya basi moja kutoka Arusha kuja Dar kukutwa kwenye tukio la uhalifu Kimara Bucha.
Yeye rafiki yangu anasema baada ya kushuka Mbezi Magufuli stendi, aliamua kuikunja na kuitupa tiketi yake karibu na lango la kutokea na baada ya hapo akaendelea na safari ya kuelekea kwake Tegeta.
Anasema zilipita siku 2 akapigiwa simu na police kuwa anahitajika kituoni Kimara.
Anasema hakwenda kwa kuhofia huenda ni watu wasio wema kisha akazima simu.
Anasema kesho yake anashangaa kuona police wako nyumbani kwake na wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa la uhalifu uliotokea maeneo ya Kimara bucha.
Na anasema walihisi walimpata kupitia Facebook, (mutual friend mmoja akatafutwa kisha akawaelekeza kwake).
Rafiki yangu si mtu wa kujichanganya sana na watu. Iwe usiku au mchana, akiwa ndani hujui na wala akienda kibaruani hujui.
Anasema ahusiki na tukio na wala hajafanya uhalifu wala kuwa na rekodi yoyote ya uhalifu.
Hapa tunashindwa cha kufanya.
Hatujui kama kweli kahusika au lah!
Sisi tunajua ahusiki ila binadamu hubadilika.
Ila maadam iko mikononi mwa jeshi la polisi tutajua tu hatma yake na wahusika halisi
Chana au haribu kabisa karatasi/tiketi ya basi/meli/treni/ndege/CV/copy yako ya NIDA na nyinginezo zenye taarifa zako sahihi.
Usichane wala kuharibu hifadhi vema nyumbani mpaka ipite walau wiki hivi.. Unaweza kuihitaji pia kama ushahidi katika mazingira kama hayohayo na mengineyoJamani, Jamani
Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako.
Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya tiketi yake ya ki-electronic ya basi moja kutoka Arusha kuja Dar kukutwa kwenye tukio la uhalifu Kimara Bucha.
Yeye rafiki yangu anasema baada ya kushuka Mbezi Magufuli stendi, aliamua kuikunja na kuitupa tiketi yake karibu na lango la kutokea na baada ya hapo akaendelea na safari ya kuelekea kwake Tegeta.
Anasema zilipita siku 2 akapigiwa simu na police kuwa anahitajika kituoni Kimara.
Anasema hakwenda kwa kuhofia huenda ni watu wasio wema kisha akazima simu.
Anasema kesho yake anashangaa kuona police wako nyumbani kwake na wakamuweka chini ya ulinzi kwa kosa la uhalifu uliotokea maeneo ya Kimara bucha.
Na anasema walihisi walimpata kupitia Facebook, (mutual friend mmoja akatafutwa kisha akawaelekeza kwake).
Rafiki yangu si mtu wa kujichanganya sana na watu. Iwe usiku au mchana, akiwa ndani hujui na wala akienda kibaruani hujui.
Anasema ahusiki na tukio na wala hajafanya uhalifu wala kuwa na rekodi yoyote ya uhalifu.
Hapa tunashindwa cha kufanya.
Hatujui kama kweli kahusika au lah!
Sisi tunajua ahusiki ila binadamu hubadilika.
Ila maadam iko mikononi mwa jeshi la polisi tutajua tu hatma yake na wahusika halisi
Chana au haribu kabisa karatasi/tiketi ya basi/meli/treni/ndege/CV/copy yako ya NIDA na nyinginezo zenye taarifa zako sahihi.
Du! Hawa mutual friends ni nyoko kabisaJamani, Jamani

Kwani hapo magufuli stendi si Kuna CCTV CAMERA kwanini wasirudi kuangalia kama kweli alitupa hiyo tiketi?Tufanyaje ili wamuamini?
Ilikuwaje mkuu?Hiyo ya kuandika jina sahihi guest aisee imewahi kutokea Nairobi early 2000s sitasahau kuna raia walibebwa na kupewa kesi kubwa ya robbery sijui kama walikuja kuachiwa wale.
Usichoelewa ni nini?
Hebu pitia post za niliowajibu ndipo uje kuuliza maswali yako hapa.
Tatizo unasoma post kuu na kujibu wakati nilishatoa ufafanuzi kwenye baadhi ya comments
Duuuuuuuh!!! Toothless much!!!!Hata vocha ya karatasi , chana vipande vipande tupa.