Wana JF narudia tena, haribu kabisa tiketi au karatasi yenye taarifa zako kamili

Wana JF narudia tena, haribu kabisa tiketi au karatasi yenye taarifa zako kamili

Nj
Pole yake sana.
Hayo maujinga yanatumiwa sana na wahalifu, lengo likiwa ni kuchelewesha ufuatiliaji wa Polisi.

Mkuu siyo tiketi na document zingine muhimu tu, hata hizi vocha za kukwangua ni mbaya sana kutupa tupa ovyo.

Ikiokotwa na hao jamaa kisha kutupwa kwenye tukio, wakifuatilia vocha ilijazwa kwenye simu gani, utakwenda na maji.

Kuja kujulikana hauhusiki, pamepitwa!
Hizi Huwa ni njia dhaifu na za kivivu kwa askari vipi kama vocha imewekwa siku mbili nyuma alafu tukio likatoke siku mbili MBELE?
 
Anatoa taarifa Police
Anasema yeye alipopigiwa simu kuwa anahitajika police Kimara naye anaishi Tegeta kwanza akapata wasiwasi na alipouliza kosa lake akaambiwa atajua akifika.
Na haya masuala ya kutekana akaona kama ndio hao wanamtafuta ndio maana akazima simu na ukizingatia anafanya kibiashara cha uwakala.
Ndugu yangu, hujajua anapitia magumu gani.
 
Kosa la kiufundi ni kuitwa na kugoma kwenda, hapo ndipo amethibitisha amehusila..

Hivi unaitwaje police kisha usiende? Alafu uzime na simu kabisa?

The fact kwamba alikuwa maeneo ya Kimara recently nayo inazidi kutoa petroli kwenye moto unaowaka...
 
Tuanzie hapa... Karatasi iliyokutwa kwenye tukio (tiketi)... imefikaje huko... Yaani mtu aliiokota na kuipeleka sehemu ya tukio..??
Ndio, na wananchi wa kwanza kufika alfajiri kwenye tukio ndio waliona tiketi yake.
Mashuhuda wanasema uhalifu ulitokea usiku kimya kimya.
Na police walipofika wakakutana na kidhibiti safi.

Mkuu, hii mbinu ipo sana ya kuuziwa kesi kwa kutumia taarifa zako.
Mpaka uje kutoka au wajue hujahusika....muda ushaenda sana
 
Kosa la kiufundi ni kuitwa na kugoma kwenda, hapo ndipo amethibitisha amehusila..

Hivi unaitwaje police kisha usiende? Alafu uzime na simu kabisa?

The fact kwamba alikuwa maeneo ya Kimara recently nayo inazidi kutoa petroli kwenye moto unaowaka...
Vipi kama wabaya wake walikuwa nje kwake au kama walikuwa jirani na kituo cha police ila wametumia gia ya upolice?

Ndugu, suala la kutekwa lisikie kwa jirani.
Wangapi waliitwa na vyombo ya dola na hawakurudi mpaka leo?
Ndugu...acha kabisa mawazo hayo.
 
Ikumbukwe wahalifu WA nyakati hizi NI wasomi pia na ikitokea anatekeleza tukio kwa kushirikiana na Taarifa zinazotokana na sinema basi atachelewesha tukio la kukamatwa kutengeneza viashiria bandia vya ushahidi.

Ila kuhusu jamaa,kwanza poleni ila kwa jinsi ulivyowasilisha kuna Kila dalili za ukakasi.

Wapelekezi nao sio wajinga.

Dunia uwanja WA vita.

Japo ukweli utakuja kwa Miguu

Karma ni kitu halisia pia Yamkini analipia deni fulani
 
Ndio, na wananchi wa kwanza kufika alfajiri kwenye tukio ndio waliona tiketi yake.
Mashuhuda wanasema uhalifu ulitokea usiku kimya kimya.
Na police walipofika wakakutana na kidhibiti safi.

Mkuu, hii mbinu ipo sana ya kuuziwa kesi kwa kutumia taarifa zako.
Mpaka uje kutoka au wajue hujahusika....muda ushaenda sana
Kuna uwezekano wa asilimia 70 rafiki yako ni mhusika, na pengine kilichokutwa huko si tiketi, umeitaja ama imetajwa tiketi kama kutoa muunganiko wa habari...

Jamaa anaishi wapi? Na tukio limetokea wapi?
Hicho kidhibiti sio tiketi kwa 80%
 
Zinaweza kuwekwa assumptions ili kuthibitisha ana hatia wanachofanya askari ni kufatilia na kuunganisha matukio/vitu (following leads)
1. Ticket ya mtuhumiwa kuwepo eneo la tukio(alifanya tukio akadondoshea hio ticket maeneo hayo)
2. Mtuhumiwa kukaidi wito wa kufika kituoni(kuna jambo anakwepa)
3. Mtuhumiwa kuzima simu baada ya kuitwa(hataki ajulikane alipo)
...
Polisi wanamuweka kama mtuhumiwa na.1 kwa hizo sababu itabidi atafute utetezi wa kupinga hayo matatu
...
1. Athibitishe sio yeye aliepeleka ticket maeneo ya tukio na hakuwepo eneo la tukio, ndani ya range ya muda wa tukio kutokea atleast mwezi
2. Athibitishe hakukaidi makusudi atoe sababu zenye mashiko kwanini hakufika kituoni
3. Aeleze sababu za kutosha kwanini alizima simu
...
My take: huenda akawa mhusika au asiwe kikubwa ushahidi
 
Kuna uwezekano wa asilimia 70 rafiki yako ni mhusika, na pengine kilichokutwa huko si tiketi, umeitaja ama imetajwa tiketi kama kutoa muunganiko wa habari...

Jamaa anaishi wapi? Na tukio limetokea wapi?
Hicho kidhibiti sio tiketi kwa 80%
Inawezekana, na ndio maana pale juu nikaandika 'binadamu anabadilika' japo huyu kaka hana tabia za uhalifu.
Jamaa anaishi Tegeta kwa Masister na tukio limetokea Kimara bucha.
Na tiketi aliitupa Mbezi stand kuu ya mabasi ya mikoani
 
Usimtetee sana....

kuna kesi ya dogo mmoja hivi, dem wake alikua anaapa viapo vyote "huyu hawezi kubaka namjua tangu utotoni bla bla anasali ni mpole bla bla blaaa" jamaa nmekaa nae mezani nkaongea nae vizuri tu " kuwa mkweli hili tukio umefanya au haujafanya" kwa kinywa chake akasema kafanya....kabaka.

Baadae kidem kinakuja vipi amesemaje, namie nkakipoza tu hajafanya.

Huyo jamaa yeye mwenyewe ndio anaujua ukweli
 
Aeleze ukweli wote is all, then akae kimya, wala asisumbuke, ila kama kweli ni Mhalifu basi akomae, tuna wahalifu wengi tu kwenye Jamii zetu humu mtaani!

  • Unaitwaje Police unazima simu?
  • Unakaa kabisa home na Amani?

Dalili za Mhalifu hizo hapo 2, mtu mwema akiwa na wito police hawezi relax!
lakini mkuu si kila simu unayopigiwa ukaambiwa imetoka polisi inakuwa kweli zingine ni mitego tu ya wahuni..kwani wakina Soka si walipigiwa simu kama hivyo wako wapi leo
 
Usimtetee sana....

kuna kesi ya dogo mmoja hivi, dem wake alikua anaapa viapo vyote "huyu hawezi kubaka namjua tangu utotoni bla bla anasali ni mpole bla bla blaaa" jamaa nmekaa nae mezani nkaongea nae vizuri tu " kuwa mkweli hili tukio umefanya au haujafanya" kwa kinywa chake akasema kafanya....kabaka.

Baadae kidem kinakuja vipi amesemaje, namie nkakipoza tu hajafanya.

Huyo jamaa yeye mwenyewe ndio anaujua ukweli
Na ndio maana kwenye post pale juu nimeandika 'binadamu hubadilika'
Ngoja tujue kesho kinachoendelea
 
lakini mkuu si kila simu unayopigiwa ukaambiwa imetoka polisi inakuwa kweli zingine ni mitego tu ya wahuni..kwani wakina Soka si walipigiwa simu kama hivyo wako wapi leo
🤝🤝🤝 kabisa
 
Huyo rafiki yako siyo smart, huwezi tupa tiketi mahali popote, better destroy it before dumping.

Pia kwa nini alizima simu alipopata mwito wa polisi ? Angeenda pengine issue ingekuwa ndogo.

All in all atatoka ila na pesa itamtoka
Anasema
1. Huenda waliompigia simu si police ni raia waovu
2. Huenda ni watekaji aidha walikuwa nje ya nyumba yake au karibu na kituo cha police.
Je, angeenda kumbe si kweli, si hatarishi kwa maisha yake.
 
Inawezekana, na ndio maana pale juu nikaandika 'binadamu anabadilika' japo huyu kaka hana tabia za uhalifu.
Jamaa anaishi Tegeta kwa Masister na tukio limetokea Kimara bucha.
Na tiketi aliitupa Mbezi stand kuu ya mabasi ya mikoani
There is no way kwamba jamaa ahusiki, japo ndio anaweza asihusike kwa asilimia zote,

Ni kwamba ana amemkosea nani na kiasi gani kiasi kwamba awe Framed katika uhalifu..??

Kama ni tukio na kumdhuru mtu, huyo jamaa ana uhusiano gani na huyo mtu?

Kama ni tukio la wizi na ukabaji, jamaa ana shughuli gani hapa mjini ya kumuingizia kipato?
 
Back
Top Bottom