KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Na ww subiri uteuziWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Subiri teuzi. Tunajua hiyo ilikuwa gia ya kuingilia ili uonekane kwa wateuzi. Hongera sana kwa first stageWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Tanga nini?CCM kama hujawah kujishigulisha na mambo yao mengimengi ,et umetokea kusikojulikana waja kutafuta nafasi hiyo hahaaa
Mzee wangu na Uprof wake kaambulia kura 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmemwambia, CCM achana nayo kama unataka uzeeke vzuri.
Kumbe jamaa alikuwa ana dira (mission) yake.Pascal Mayalla,
Mwana mkaidi hapewi pole.
Karibu tuendeleze mijadala yenye afya hapa JF. Tactic yako ya kujipendekeza kwa kumsifia Jiwe na kujipendekeza CCM is not working. Go back to the young YOU; Achana na kusifia sifia na kuabudu.
Kwanza nakupa pongezi sana na wala sikupi pole ni hongera nyingi sana,na pia usihofu nata mwandishi mwenzio deo nsokolo kapata kura moja tu kule nsimbo alipoenda kugombeaWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
0Mwijaku kapata ngapi mkuu?
Naunga hoja..mnafiki hatari huyu jamaa...njaa mbaya sana aiseeUmetuaibisha hatuwezi acha kukubeza, umeshindwa jitifautisha kati ya great thinker na lower minded thinker, kuanzia Leo wewe sio great thinker tena, pia tumekujua wewe ni nzi wa kijani hatutaki tena hoja zako mfilisi, kafie mbali usukumani, mkabila mkubwa!
Huu ndo ukweli. Afate huu ushauri.😂 wenzio wanaanza Zamaaaaani ... Lazima ujue mipango, michezo michafu jumlisha uhuni ... ndio uwe CCM