NA AACHE KUJIPENDEKEZA.Pascal Mayalla,
Mwana mkaidi hapewi pole.
Karibu tuendeleze mijadala yenye afya hapa JF. Tactic yako ya kujipendekeza kwa kumsifia Jiwe na kujipendekeza CCM is not working. Go back to the young YOU; Achana na kusifia sifia na kuabudu.
safi kabisa akome ndyo maana anashindwa kuwa impartialSikupi pole ng'o.
Siku nyingine ukome, kwani ulikuwa hujui kwamba CCM ina wenyewe?
Hahhahhhhhahahhahahah. OMG hongera sana kwa uthubutu.
Nasikia kumuangusha Naibu waziri. Ndagu ya mke imelipa.Sister babu tale kashinda
πππ aiseeWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Wanabodi,