Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Pole ya Nini Pascal..
Mimi nakupa kongole...najua haukuwa serious..ilikuwa ni kupata experience ya u haguzi...I did the same some few years ago
 
Pascal Mayalla,
Hahahh nimecheka utafikiri mazuri.

Umejaribu lakini Hongera.

Kura moja Mkuu nani alikupa angalau hii moja?!

Lakini tukiwa tunasema mioyo ya wananchi inaumia muwe mnatuelewa.

Lakini kule ulienda tu au uliagizwa ? Kwani hukuwa unamjua mpwa kha!
 
Pascal Mayalla, P nimejizuiya sana kucheka nimeshindwa kabisa kaka ..pls accept my apology[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.

Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.
Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?

Nimekereka sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Pole Pascal dah, nilitaka kukuambia usiende,lakini si unajua,sikio la kufa halisikii dawa.Anyway CV tayari unayo.
 
Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.

Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.

Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?

Nimekereka sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kati ya vichwa ninavyoviamini, na naviona vikitumika vizuri vinaweza kuisaidia nchi hii, ni pamoja na huyu Pascal Mayalla . Nimesikitika kutotambuliwa huko CCM.

Hata hivyo, kilichonishangaza ni, mtoto wa Mwinyi kupewa U RAIS Zenji, lakini watoto wa Nyerere kunyimwa hata kura za maoni kuwa WABUNG! . Yaani, Makongoro kura 4,na Madaraka 2 kweli bila kuwaonea aibu? Kweli CCM ina wenyewe!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata

You have started the journey, you still have bright future

You have just stand up, you can start walking now

If you sit down and move, that is crawling

Congratulations...you are walking now, go go go
 
Back
Top Bottom