Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema aje kugombea jimbo la JF.Pole Sana kaka. Jipange Next Time. Nimekuona Hapa una angaika Tu
Najiuliza Hapa.Inakuaje Kada Kama Wewe Unakosa Ata Mjumbe Mmoja wa Kukupa Kura. Kweli CCM Ya Sasa Baba Lao.
Yeye si mjumbe wa kikao cha upigaji kura. Kwa hiyo hawezi kupiga kura.Pole sana.
Ina maana hata wewe mwenyewe hukujipigia kura? Au umekuwa kama Shein kule Zanzibar 2010?