Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Hiyo sifuri uliyopata Pascal wamekupendelea.Ulitakiwa upate chini ya hapo.Huyo aliyekupa sifuri najiandaa kumpeleka mahakamani alitakiwa akupe chini ya sifuri .Sifuri mbona kubwa sana atakupaje sifuri? looo

Amepata kamoja hapa nasikia

Ila sasa zile mil 100 mkuu Pascal Mayalla tugawie sie JF
 
tatizo hukuwatembelea na badala yake unaenda siku ya kuwaomba kura, unadhani ni nini kingefuata kama sio kupata ziro!?
 
Pole sana mkuu ndio democracia hiyo. Kipindi nipo chuo nilijiunga na ccm sasa walikuwa na group la whatsup la wanachama nikaomba waniunge nikawamchia na numba lakini sikuungwa, nikafuatili kama mara mbili hivi wale viongizi wa uvccm wakawa wanatupiana mpira tu mfuate huyu mara nenda kwa yule ikabidi niache tu nikawaza sana hivi ule usemi wa ccm inawenyewe ni really japo siamin sana.
 
Back
Top Bottom