Haka kaukumbi hakamtoshi ahamie redioni, Luningani na magazetiniMwana mkaidi hapewi pole.
Karibu tuendeleze mijadala yenye afya hapa JF. Tactic yako ya kujipendekeza kwa kumsifia Jiwe na kujipendekeza CCM is not working. Go back to the young YOU; Achana na kusifia sifia na kuabudu.
Wanaopiga kura ni wajumbe yeye ni mgombea tuPole sana.
Ina maana hata wewe mwenyewe hukujipigia kura? Au umekuwa kama Shein kule Zanzibar 2010?