Hiyo sifuri uliyopata Pascal wamekupendelea.Ulitakiwa upate chini ya hapo.Huyo aliyekupa sifuri najiandaa kumpeleka mahakamani alitakiwa akupe chini ya sifuri .Sifuri mbona kubwa sana atakupaje sifuri? looo
Pole sana mkuu ndio democracia hiyo. Kipindi nipo chuo nilijiunga na ccm sasa walikuwa na group la whatsup la wanachama nikaomba waniunge nikawamchia na numba lakini sikuungwa, nikafuatili kama mara mbili hivi wale viongizi wa uvccm wakawa wanatupiana mpira tu mfuate huyu mara nenda kwa yule ikabidi niache tu nikawaza sana hivi ule usemi wa ccm inawenyewe ni really japo siamin sana.