Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

'Hilo Jimbo alieshinda Askofu halina wapiga kura (kwenye uchaguzi mkuu) Waislamu?', na mahusiano ya Askofu na hao wa dini nyingine yakoje?
Hajawahi kukashifu watu wa dini au madhehebu mengine?'

Nimejikuta najiuliza tu.
 
Mayalla atakuwa ameshinda ila kura zake zimeibiwa mbona pole ni nyingi kuliko kura alizopata,alisikika Hashimu Rungwe anaongea.😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pascal Mayalla,

Hatukucheki Bhana ila kusema ukweli sifuri ni namba inayochekesha sana. Yaani ni kana kwamba hukuchukua fomu au hapakuwa na mchakato wowote uliofanya. Yaani hunatofauti na sisi ambao hatukuchukua fomu 😀 😀 😀 😀 😀
 
'Hilo Jimbo alieshinda Askofu halina wapiga kura (kwenye uchaguzi mkuu) Waislamu?', na mahusiano ya Askofu na hao wa dini nyingine yakoje?
Hajawahi kukashifu watu wa dini au madhehebu mengine?'

Nimejikuta najiuliza tu.
Unapaswa kumuhurumia mwanajf!
 
Mkuu ni kweli lazima ufanye kitu katika jamii ili kujenga jina but nakuhakikishia inategemeana na mazingira ya siasa katika Jimbo hilo kwa kipindi hicho yamekaa vipi unaweza fanya hayo yote na usipate hata kura 1 nimeshuhudia haya kwa macho yangu mwenyewe kuna raia wamejitoa sana but mwisho wa siku wameangukia pua,akaja mtu mwishoni akakubalika ajaabu na hajawi fanya chochote katika jamii hiyo.
 
Mashinji naye si amechukua form jimbo hili?

Vipi naye hajatoboa au anasubiri hisani ya mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…