Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Mayalla hana tofauti na wasanii wanaohisi followers wake ndio watampigia kura.
 
Pole mkuu usikate tamaa ila tatizo huna damu ya si yaani kusema uongo, kuiba na rushwa ila usijali CV yako imefika kuna uteizi pia sifia chama msifie mzee baba utapata tu.
 
Pascal Mayalla,

Maandiko matakatifu yanasema hivi , nanukuu , " KILA ACHANGAMANAYE NA SHETANI ATAHUKUMIWA " wewe ulipuuza andiko la Mungu na umevuna ulichopanda , sitakuhurumia hata chembe bali nitakucheka hadi jino la mwisho πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…