unajikaza!!? Huna tofauti na matumain ya Mzee wa Kiraracha mwaka '95!
Just wait. U will see
Duh !!! Amekukosea nini? Ujue mie bado nampenda mume wangu Filipo ?
kuna kitu nimekipenda hapa.....ngoja nifuatilie........
kuna kitu nimekipenda hapa.....ngoja nifuatilie........
Arif tumetoka mbali bwasheehah hah hah hah hah! Unanikumbusha mbali sana Mkuu! Ila wife ndio tushakuwa mwili m1. Sasa sijui unataka kusemaje hapo!
Tena kama wewe utakuwepo mi sikuji...
Dadangu huwa unanivurugia move sana ujue....
Afu ngoja nikuPM unipe mstakabali flani hivi......
kuna kitu nimekipenda hapa.....ngoja nifuatilie........