Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha nimecheka hakyanani, eti atoto atakuwa anawaza tu hela ya nauli. Uzuri kwao ni hatua chache tu kutoka samaki samaki, so hamna kupewa nauli teh tehHahaaa nitawapiga miofa ya kufa mtu siku hiyo, ila duuuh sipati picha atoto atakavyokuwa nawaza nauli nitawatoa kiasi gani mwisho wa siku!! anaweza awe nasi physically tu lakini kumoyo anawaza tumalize meeting fasta ajue how much she has earned today!!!
Hahaaa nitawapiga miofa ya kufa mtu siku hiyo, ila duuuh sipati picha atoto atakavyokuwa nawaza nauli nitawatoa kiasi gani mwisho wa siku!! anaweza awe nasi physically tu lakini kumoyo anawaza tumalize meeting fasta ajue how much she has earned today!!!
Hahaha nimecheka hakyanani, eti atoto atakuwa anawaza tu hela ya nauli. Uzuri kwao ni hatua chache tu kutoka samaki samaki, so hamna kupewa nauli teh teh
Hahaha usijali my kaka atakuja na vogue lake, atamrudisha kila mtu kwaoThubutuuuu mie nakaa mbali sana na samaki samaki, kutoka pale hadi home nauli 50elfu.
Hahaha usijali my kaka atakuja na vogue lake, atamrudisha kile mtu kwao
Alafu nyumbani nitasemaje nimerudishwa na gari, sipandagi magari ya lifti mimi, ye anipe tu nauli yangu nisepe kivyangu, teh teh teh
Teh tukikaribia kufika, tutashuka then tukuescort kwa miguu. Au hupandagi pia miguu ya lift [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu nyumbani nitasemaje nimerudishwa na gari, sipandagi magari ya lifti mimi, ye anipe tu nauli yangu nisepe kivyangu, teh teh teh
tehee eeeh wajukuu wa Chief Kingalu, mwendo wa shangwe ndo jadi, kweli kabisa aisee
Teh tukikaribia kufika, tutashuka then tukuescort kwa miguu. Au hupandagi pia miguu ya lift [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa kurudishwa tu, nauli njoo nayo mwenyeweAlafu wewe mbona mmekazania kunirudisha home? Unajuaje labda nataka kwenda homeee!! Sitaki kurudishwa nataka nauli.
Kingalu ndio nani tena?
kwa Wahehe Ni Chief Mkwawa kwa Waluguru ni Chief Kingalu, mtawala wao wa enzi hizo, basi sasa ile ya kutopanda gari lift na kutembea tu kwa mguu ndio jadi ya wazawa na wakazi wa mji kasoro bahari, dumisha mila, hela itumwe tu na sio lift ya vogue, hagaah
Teh unavyopenda kula mbona utakuja tu. Afu usipokuja ujue me ndo ntapewa hela nyingi sasaBasi siji, sina nauli, na my lovely kaka mito hawezi kukubali nisifike eneo la tukio, so walaaa sina hofu.
Teh unavyopenda kula mbona utakuja tu. Afu usipokuja ujue me ndo ntapewa hela nyingi sasa
Haya endelea kuona
Basi siji, sina nauli, na my lovely kaka mito hawezi kukubali nisifike eneo la tukio, so walaaa sina hofu.
Teh unavyopenda kula mbona utakuja tu. Afu usipokuja ujue me ndo ntapewa hela nyingi sasa
My kaka hawezi ruhusu hilo
Kwa kweli usipokuja appointment inahairishwa kabisaaa, sipati picha watakavyonigawana usipokuwepo sista, itakuwa mteremko sana kwao
BTW moro nako kuna samaki samaki au Heaven Sent anatulisha sumu? mi najua ya bongo tu
Teh basic need eehKwa atoto hata nisipowapa menu poa tu aisee, ilimradi tu nimpe basic need yake inatosha kabisa kwake
Ipo bana inaitwa nyumbani park sema imezoeleka pia kama samaki samakiKwa kweli usipokuja appointment inahairishwa kabisaaa, sipati picha watakavyonigawana usipokuwepo sista, itakuwa mteremko sana kwao
BTW moro nako kuna samaki samaki au Heaven Sent anatulisha sumu? mi najua ya bongo tu